Wataalamu wa Dini tusaidieni kwenye dhambi ya kuzini

Wataalamu wa Dini tusaidieni kwenye dhambi ya kuzini

Jinsia ilianza kwao ndipo ikaja kwetu hakuna jambo tunalofanya sisi ambalo wao hawakulifanya, wapo wanaume na wanawake kama sisi
Jinsia labda (huenda na sina hakika) kama zipo ni kwenye nafsi, lakini sio miili.

Malaika hawana miili, so hawana uke wala uume.

Kwenye nafsi huenda wakapata ile masculinity na feminine kama hali au nguvu ya utendaji kazi...ila malaika hawana jinsia.

That's a lie broo

Sent from my SM-A310F using JamiiForums mobile app
 
Kwanza kudanya mapenzi sio dhambi...dhambi ya mtu inatengenezwa na sub conscious mind. Hilo moja.

Pili, umejuaje kama malaika wana jinsia? Hili ndio kwanza nasikia kwako.

Jinsia ya kike na kiume? Mmh..

Sent from my SM-A310F using JamiiForums mobile app
Wanatudanganya kutafunana ni dhambi😀
 
Back
Top Bottom