Wataalamu wa Dini tusaidieni kwenye dhambi ya kuzini

Wataalamu wa Dini tusaidieni kwenye dhambi ya kuzini

Kwani we ukila ng'ombe wanakuhubiria? Huwezi sema kula mazao yako ni kosa kwani ye anajua Hilo ..? Nafsi ni Nini? Niambie utashi ni Nini? Kama ndo hivyo kwa Nini Kuna mbwa tofauti, si wangekuwa wote sawa..mbona Kuna wapole wakali waoga wajasiri wavivu etc ... Mbona wanatabia tofauti... If huyo Mungu wako ni fair mbona anawapa free pass? Mbwa anaua anabaka anapiga mbwa wenzake anaibia pia, Ila sio wote wanafanya hivi...it means Kuna mbwa wema na wabaya so by using ur logic na roho zao zinabidi ziende either mbinguni au motoni. Why Sasa haipo hivyo according to storybook yako u call Bible
Yaani uwezo wako wa kufikiri ni zaidi ya juha... mbwa hana utashi unaojaribu kuufikia wa binadamu hata kwa milimita 1 (will) hana akili kama binadamu hajui neno teknolojia linamaana gani... hajui kama kuna nchi inaitwa Tanzania yenye mjinga mmoja anae amini yeye ni kama mbwa.
 
Kwa hiyo wewe pale home kwako mnafanana kwa kila kitu na mbwa wako.
Sina cha kukusaidia.
Hatufanani kila kitu. 🤣Ila pia wote ni viumbe tuna ubongo na tunaweza kuamua...Ila tofauti yetu ni kwamba binadamu anatamaa ya mbingu na uwoga wa moto afu mbwa hana. .
 
Akili ni nini?
Ukiufanyia upasuaji mwili wa kiumbe hai akili utaioona wapi?
Akili ipo kwenye ubongo. Ukiuzima ubongo mtu hawezi ona nusa fikiria ota pumua... Hawezi fanya chochote soma biology o level functions za parts of the brain. Itakusaidia.. knowledge is power
 
Yaani uwezo wako wa kufikiri ni zaidi ya juha... mbwa hana utashi unaojaribu kuufikia wa binadamu hata kwa milimita 1 (will) hana akili kama binadamu hajui neno teknolojia linamaana gani... hajui kama kuna nchi inaitwa Tanzania yenye mjinga mmoja anae amini yeye ni kama mbwa.
🤣Ad hominem logical fallacy of personal attack. At least mbwa hajataka kutunga story za mbingu na moto kutisha mbwa wenzake
 
Akili ipo kwenye ubongo. Ukiuzima ubongo mtu hawezi ona nusa fikiria ota pumua... Hawezi fanya chochote soma biology o level functions za parts of the brain. Itakusaidia.. knowledge is power
Uliwahi kuiona akili kwa macho yako katika mwili? Unachoona wewe ni ubongo na sii akili kama vile moyo usivyokuwa nafsi au roho.
Jaribu basi kijiongeza hata kidogo!!
 
Uliwahi kuiona akili kwa macho yako katika mwili? Unachoona wewe ni ubongo na sii akili kama vile moyo usivyokuwa nafsi au roho.
Jaribu basi kijiongeza hata kidogo!!
Ushawahi kuona tamaa? Ushawahi ona njaa? 🤣Hivi imeisha
 
Wanajinsia ndio maana hata majina yao yapo ya kiume na kike,
Hii mada haiwezi kuleta tija kwasababu hatupo katika dini mseto. Sanasana italeta hisia za kidini kwa wenye mihemko kwa kuwa aaminivyo mmoja juu ya kitu hicho hicho mwengine anaamini tofauti.
 
Wana jinsia hata majina yao yapo ya kiume na kike
Hiyo concept kuwa jina hili ni la kike na hili la kiume ni sheria ipi??Sifa za jina la kike ni zipi na sifa la jina la kiume ni zipi??
 
Dini zote duniani zinahubiri kuwa kufanya mapenzi ni dhambi hivyobasi mwanadamu hapaswi kufanya mapenzi na mwanadamu mwezake.
Mwanaume kuwa karibu na mwanamke au kujenga urafiki imekua ikiibua maswali mengi kwa watazamaji.

Kwahiyo swala la jinsia limekuwa likitafsiriwa vibaya sasa tuelezeni kwanini kuna Malaika wa Kiume na Wakike? Kwanini wakawa wa Kiume na Wakike?

Kwanini wasingekuwa jinsia moja kama jinsia haina maana kubwa kama mnavyotudanganya kwamba wanaume tusikutane na wanawake wala wanawake wasikutane na wanaume?
Mkutane kwa mkataba(ndoa),sio ovyo ovyo,kujaza watoto wa mitaani,wasiokuwa na malezi.
Na malaika hawana jinsia ya kike wala ya kiume.Hawazini wala kuoana.
 
Kuna mambo yapo nje ya uwezo wa mwanadamu em acheni buana jadilini issue tangible kama hii ya BANDARI.
 
Kuna mambo yapo nje ya uwezo wa mwanadamu em acheni buana jadilini issue tangible kama hii ya BANDARI.
Acha uvivu wa kufikiria...wenzako wamefikiria ndo maana wamefika stage ya kutengeneza mkataba wa bandari...sisi tutaendelea kupelekeshwa tu coz hatutaki kufikiria
 
Acha uvivu wa kufikiria...wenzako wamefikiria ndo maana wamefika stage ya kutengeneza mkataba wa bandari...sisi tutaendelea kupelekeshwa tu coz hatutaki kufikiria
Sasa mkuu hata nifikiri vp haya mambo ya jinsia za malaika zitanisaidia nini??
 
Ukishaprove kwamba zote ni fairytale unaweza ishi maisha huru na yenye raha
Mkuu there is no way utaprove kuwa hzo ni fairytale kuna a lot of evidence kuwa hicho kitabu kipo heavenly inspired...

mfano fossils of marine creatures have been found high on the himalaya mountain ranges.. how did they get there kama si kwa gharika ya siku za noah??

and a lot of other evidences even one backing up the story of sodom and gomorah.
 
🤣Hizi evidence ya yule jamaa mmoja alishapingwaga Sana. Only a stupid person ataamini story ya Noah ya dunia kujaa maji na wanyama kuingia botini. Kwa ur logic hao marine creatures wasingesurvive coz wazee hawajui kwamba samaki wanatofautiana some live in cold, hot, salty, fresh, swampy, dirty etc type of water mchanganyiko wake utaua samaki wote. Bado Kuna Mambo ya pressure na sunlight due to maji kuwa marefu kupitiliza. 😅💔Yaani hapa kwenye Bible kuwa na evidence umeyakanyaga Bora ungesema tu Mungu yupo kisa hujui Tako limetoka wapi bac
 
Hizi evidence ya yule jamaa mmoja alishapingwaga Sana. Only a stupid person ataamini story ya Noah ya dunia kujaa maji na wanyama kuingia botini. Kwa ur logic hao marine creatures wasingesurvive coz wazee hawajui kwamba samaki wanatofautiana some live in cold, hot, salty, fresh, swampy, dirty etc type of water mchanganyiko wake utaua samaki wote. Badokwenye Bible kuwa na evidence umeyakanyaga Bora ungesema tu Mungu yupo kisa hujui Tako limetoka wapi bac
Sasa mkuu wewe ndo hujaelewa, marine creatures are to be found in the sea and after they die their fossils are to be found in the sea.

Sasa kama these fossils are found as high as 8 km above the sea level how did they get there,?? If not by the global deluge such as that of Noah's day.....
 
Soma message yangu tena
 
Mkutane kwa mkataba(ndoa),sio ovyo ovyo,kujaza watoto wa mitaani,wasiokuwa na malezi.
Na malaika hawana jinsia ya kike wala ya kiume.Hawazini wala kuoana.
Kumbuka unao kiunoni mkuu, kwa jinsi unavyosumbua mke mmoja hauwezi😂
 
Dini zote duniani zinahubiri kuwa kufanya mapenzi ni dhambi hivyobasi mwanadamu hapaswi kufanya mapenzi na mwanadamu mwezake.
Mwanaume kuwa karibu na mwanamke au kujenga urafiki imekua ikiibua maswali mengi kwa watazamaji.

Kwahiyo swala la jinsia limekuwa likitafsiriwa vibaya sasa tuelezeni kwanini kuna Malaika wa Kiume na Wakike? Kwanini wakawa wa Kiume na Wakike?

Kwanini wasingekuwa jinsia moja kama jinsia haina maana kubwa kama mnavyotudanganya kwamba wanaume tusikutane na wanawake wala wanawake wasikutane na wanaume?
Kwanza kufanya mapenzi sio dhambi...dhambi ya mtu inatengenezwa na sub conscious mind. Hilo moja.

Pili, umejuaje kama malaika wana jinsia? Hili ndio kwanza nasikia kwako.

Jinsia ya kike na kiume? Mmh..
 
Back
Top Bottom