Wataalamu wa Dini tusaidieni kwenye dhambi ya kuzini

Wataalamu wa Dini tusaidieni kwenye dhambi ya kuzini

Walikwambia hawana hisia? Vip mapepo na mashetan walijizaa wao? Vipi wale malaika walioanguka na waliozaa na biandamu walitumia kichwa kufanya mapenzi?

Tumieni akili na sio stori za vijiweni.

Malaika wana jinsia, viumbe vyote vina jinsia
Hao hawakuwa malaika, nakujibu kama ifuatavyo.

Nephilim ni neno la kiyahudi linaloonekana katika mistari miwili tu katika agano la kale, katika kitabu cha Mwanzo 6 na katika kitabu cha Hesabu 4.

Kibiblia watu walijulikana kutokana na jina la ukoo wa baba lakini wanefili(majitu) hawakuwa katika ukoo wowote ule.

Katika kitabu cha hesabu 4, tunaona kwamba wana wa anaki ni sehemu ya wanefili(majitu), tangu awali anaki alikuwa mkaanani, kwa mantiki hii ni sahihi kusema wanefili walikuwa binadamu wa kawaida kabisa na si malaika au mapepo.
 
Ya kukutana na moto wa jihanamu. Kwani alihakikishiwa kuwakuta mabikira wameupara na kumtanunilia. Akabeba bomo ama banduki kiu ya mabikira ikiwa imemshika kweli kweli na asipoteze muda.
We una ushahidi kwamba uo moto upo au ni vitisho tu kwa watu wasio na maarifa na waoga na ni mbinu zilizokuwepo na watawala wa kipindi hicho ili kuwafatisha sheria waliotunga wao
 
We una ushahidi kwamba uo moto upo au ni vitisho tu kwa watu wasio na maarifa na waoga na ni mbinu zilizokuwepo na watawala wa kipindi hicho ili kuwafatisha sheria waliotunga wao

Ndio nina ushahidi wa kuamini kupitia Imani yangu inayo nifundisha hivi kuwa Imani ni kitu gani.
Waembrania 11: 1-6.
 
Hao hawakuwa malaika, nakujibu kama ifuatavyo.

Nephilim ni neno la kiyahudi linaloonekana katika mistari miwili tu katika agano la kale, katika kitabu cha Mwanzo 6 na katika kitabu cha Hesabu 4.

Kibiblia watu walijulikana kutokana na jina la ukoo wa baba lakini wanefili(majitu) hawakuwa katika ukoo wowote ule.

Katika kitabu cha hesabu 4, tunaona kwamba wana wa anaki ni sehemu ya wanefili(majitu), tangu awali anaki alikuwa mkaanani, kwa mantiki hii ni sahihi kusema wanefili walikuwa binadamu wa kawaida kabisa na si malaika au mapepo.

Wanifeli walikuwepo wakati wa gharika ama hawakuwepo? Kama walikuwepo walipona vipi? Maana Biblia inasema katika safina walikuwepo watu 8 tu wengine walifutiliwa mbali
 
Wanifeli walikuwepo wakati wa gharika ama hawakuwepo? Kama walikuwepo walipona vipi maana Biblia inasema katika safina walikuwepo watu 8 tu wengine walifutiliwa mbali.
Wakati wa gharika walikuwepo na hata baada ya gharika walikuwepo according na maandiko yanavyosema, soma kitabu cha mwanzo mpaka hesabu utapata jibu.

Suala la kwamba yalipona ponaje, mimi sijui, ajuaye ni Mwenyezi Mungu pekee.
 
Ndio nina ushahidi wa kuamini kupitia Imani yangu inayo nifundisha hivi kuwa Imani ni kitu gani.
Waembrania 11: 1-6.
Basi we amini, utaenda Motoni ili usitende dhambi uende mbinguni umpigie magoti Mungu wako ukimwimbia miaka nenda Rudi si ndo furaha yako. Ila usitishie watu ujinga wa moto ambao hamna ushahidi wowote Kama upo.
 
Mtazame LILITH.
Lilith ni binadamu wa kwanza..hakuwa malaika. Halafu wakristo wajinga Sana sema sio kosa lao...😅genesis imejichanganya male and female wameumbwa at the same time afu baadae Adam yupo peke ake ..😭wahuni wakatunga story ya mwanamke wa kwanza 😂Biblia ni kitabu ka novel ambayo imeandikwa na mtoto wa miaka minne wa mwaka 1800
 
Wakati wa gharika walikuwepo na hata baada ya gharika walikuwepo according na maandiko yanavyosema, soma kitabu cha mwanzo mpaka hesabu utapata jibu.

Suala la kwamba yalipona ponaje, mimi sijui, ajuaye ni Mwenyezi Mungu pekee.
😂Huwezi jua coz hizi story zimetungwa na watu wasiojielewa na wamekuambia usichunguze Mungu wakati it means usiwachunguze wao. 😅hebu tuwe serious we unaamini mtu mwenye miaka 600 na familia yake, walijaza boti na wanyama wote duniani kutoka Canada mpaka Australia, wakaishi wakala wakanya wakasurvive, afu dunia nzima ilijaa maji mpaka mlima wa juu na waliweza kupumua na kutokufa kwa baridi, na waliweza kusurvive na kuzaliana baada ya hapo although it's genetically impossible na pia chakula kulikuwa scarce especially kwa wanyama Wala nyama..
😂Hii story ukimhadithia hata mtoto wa la 7 ambae hajui Mungu au dini yoyote anakutemea mate
 
Huwezi jua coz hizi story zimetungwa na watu wasiojielewa na wamekuambia usichunguze Mungu wakati it means usiwachunguze wao. hebu tuwe serious we unaamini mtu mwenye miaka 600 na familia yake, walijaza boti na wanyama wote duniani kutoka Canada mpaka Australia, wakaishi wakala wakanya wakasurvive, afu dunia nzima ilijaa maji mpaka mlima wa juu na waliweza kupumua na kutokufa kwa baridi, na waliweza kusurvive na kuzaliana baada ya hapo although it's genetically impossible na pia chakula kulikuwa scarce especially kwa wanyama Wala nyama..
Hii story ukimhadithia hata mtoto wa la 7 ambae hajui Mungu au dini yoyote anakutemea mate
Umetoa maelezo marefu lakini yasiyokuwa na point yoyote ile.

Yasiyowezekana machoni pa mwanadamu, kwa Mungu yote yanawezekana, baki na imani yako.
 
Umetoa maelezo marefu lakini yasiyokuwa na point yoyote ile.

Yasiyowezekana machoni pa mwanadamu, kwa Mungu yote yanawezekana, baki na imani yako.
😂Sasa ukitaka kuweka miujiza kwenye kila kipande Cha hiyo story ili umake sense, si huyo Mungu mwenye miujiza si angefunga na kufungua macho afu watu wabaya wote wangekufa...instead of kuiga story za dini nyingine nyingi kuhusu dunia kujaa maji...🤣Hadi wa maasai Wana story ya kufurika dunia...
 
Ufunuo Sura 21 Na Isaya 11:6-10.
Usiniletee vitabu ambavyo vinazungumzia madragon, unicorn, magiant, angels kulana na binadamu, watu wanaotembea juu ya maji, nyoka na punda wanaoogea, jua kusimama, wanyama wote kuishi ndani ya boti na bustani yenye miti ya kimiujiza....
Nipe jibu kamili Kama mbwa ana roho.. roho yake inaenda wapi akifa na kwa Nini na unipe ushahidi wa maelezo yako
 
Hapo ndio imeisha hiyo kinachofuata ama afataye tafadhali.
 
Back
Top Bottom