Shehullohi
JF-Expert Member
- Jul 21, 2020
- 3,753
- 3,685
Ina maana hakuna mabikra huko akhera? Mbona mnatuchanganya sasa? 😳😳😳
Mathayo 5:28 1Wakorintho 6:18
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ina maana hakuna mabikra huko akhera? Mbona mnatuchanganya sasa? 😳😳😳
Inasemeje hiyo mistari?Mathayo 5:28 1Wakorintho 6:18
We unataka bikra wa Nini?Inasemeje hiyo mistari?
Kuna mabikra akhera au hakuna? Mbona swali rahisi tu?
We unataka bikra wa Nini?
Hasara ipi?Anataka kujihakikishia asije akajitoa muhanga akapata hasara kubwa
Malaika ni viumbe wa wenye miili ya kiroho isiyofungwa na sheria ya kanuni za maumbile ya dunia kama ilivyokuwa kwa Adamu alipokuwa mwanamke na mwanamme katika mwili mmoja kabla hawajatenganishwa. Miili hii ya kiroho haihitaji vitu kama oxygen, jua, virutubisho nk. Na wala haina mpaka katika kanuni za kiulimwengu . Yaweza kuwa popote na kwa wakati wowote bila idhini wala kuzuizi.Dini zote duniani zinahubiri kuwa kufanya mapenzi ni dhambi hivyobasi mwanadamu hapaswi kufanya mapenzi na mwanadamu mwezake.
Mwanaume kuwa karibu na mwanamke au kujenga urafiki imekua ikiibua maswali mengi kwa watazamaji.
Kwahiyo swala la jinsia limekuwa likitafsiriwa vibaya sasa tuelezeni kwanini kuna Malaika wa Kiume na Wakike? Kwanini wakawa wa Kiume na Wakike?
Kwanini wasingekuwa jinsia moja kama jinsia haina maana kubwa kama mnavyotudanganya kwamba wanaume tusikutane na wanawake wala wanawake wasikutane na wanaume?
Inamaana nikifika mbinguni ndo basi tena dushe halina kazi?Malaika hawana jinsia. Mbinguni hakuna kuoa wala kuolewa.
Nje ya mke wakoSasa haya madick tumepewa ya kazi gani viunoni kama tunaambiwa kuyatumia ni dhambi
Roho ya mbwa inaenda mbinguni au motoni?Malaika ni viumbe wa wenye miili ya kiroho isiyofungwa na sheria ya kanuni za maumbile ya dunia kama ilivyokuwa kwa Adamu alipokuwa mwanamke na mwanamme katika mwili mmoja kabla hawajatenganishwa. Miili hii ya kiroho haihitaji vitu kama oxygen, jua, virutubisho nk. Na wala haina mpaka katika kanuni za kiulimwengu . Yaweza kuwa popote na kwa wakati wowote bila idhini wala kuzuizi.
Wakati viumbe hawa wa kiroho walipoletwa duniani ndipo wakapewa miili ya nyama na damu(flesh) Adamu nae vivyo hivyo akitenganishwa kijinsia kike na kiume kwa ajili ya kuendeleza uzao duniani.
Adamu yeye tofauti yake na wanyama wengine ni moja. Ana nafsi yaani upambanuzi. Wanyama wengine wana roho ya uhai tu.
Yeye adamu ndiye aliyepewa sheria ya makatazo kwamba uasherati ni dhambi kwamba mtu asimchukue mwanamke wa mme mwingine. Hapa kuna siri ya kile kilichoendelea katika bustani ya Eden hata ihesabiwe kama kulala na Eva kingono kwa Adamu ilikuwa anguko(dhambi). Tuache hilo.
Sasa anguko la mwanadamu lipo katika damu. Na mwanamke ni bikira hadi atolewe na mwanamme. Tendo hili ni agano la damu na hivyo humfanya mwanamke awe mme halali kwa aliye mbikiri maana hapo ndipo penye agano. Mengine yaliyofanywa na mapokeo ya kidini na kimila kuhusu ndoa yalikuwa ni mapatano na sii maagano maana mme alimuoa mke ambae ni kahaba kwa kuanzia kwa kuwa sie ndiye aliyemfanya kahaba kwa kumtoa bikira.
Hata hivyo kuna kitu kinaitwa agano la neema ambalo linaruhusu mume kumchukua mwanake kuwa mkewe ikiwa baada ya mke kikiri status zake ataridhia kuishi nae(utakaso)
Kwa hiyo dhambi katika ngono kwa binadamu ni kushiriki mapenzi na mtu asie mke/mme wako.
18 yenyewe ni conditions za nchi kwa nchi... Nchi zingine zinaruhusu teen sexNani kasema dhambi? Kuanzia 18 ruksa, Ila kwa mastep na kuelewana. Ikifikia kipindi cha kuoa umeshajua mengi.
Roho ya uhai ipo kwa kila kiumbe hai bila kujali mahali kilipo kwamba ni mbinguni , duniani au kuzimu.Roho ya mbwa inaenda mbinguni au motoni?
Mbinguni kuna viumbe wengi sana wa ajabu according na ukisoma maandiko, thus why mtu muoga ni miongoni wa watu wale watakaotupwa kwenye ziwa la moto, ufunuo 21:8 ina conclude kwa kusema uwoga ni dhambi.Sawa ngoja tukubaliane na kauli hiyo kuwa Malaika hawana jinsia.
Lakini vipi kuhusu muonekano wao usoni, wana sura gani?
Wana sura za kike au za kiume?
Mionekano yao tunaambiwa wana mabawa, ila mi nataka niende deep zaidi.
Nafikiria hapa kwa kutafakari muonekano wa binadamu, muonekano wa binadamu wa jinsia ya kike huwa ana matiti kifuani.
Binadamu wa kiume huwa hana matiti ila ana small nipples tu kwenye kifua.
Sasa nikianza ku imagine huyo Malaika ambaye hana jinsia, kwenye eneo hilo la kifua yeye atakuwa na muonekano gani, ndio nashindwa kupata jibu. Mnaweza kunisaidia wajuzi.