Wataalamu wa Dini tusaidieni kwenye dhambi ya kuzini

Wanajinsia ndio maana hata majina yao yapo ya kiume na kike,
Majina aliyesema kuna ya kike na kiume.ni mwanadamu

Majina ya Malaika kwanza hayakupaswa kupewa wanadamu

Yale ni.majina yao .Dunia ndio imayaharibu kwa kuyatwaa na kuwapa watoto wao
Ni kama jina Mungu haitakiwi binadamu awe na hilo jina
 
Hii dunia ya ajabu sana aisee, vitu vizuri vyote vina masharti magumu sana.

Huwezi kuniambia eti kila kizuri kinaitwa dhambi, nione toto limekaa vizuri, nikilitamani tu...Mungu kashaandika "dhambi", nikienda mbele zaidi nikaliweka...anaandika "dhambi".

Siku nikisema nipige mvinyo kidogo nichangamshe akili, nikizidisha tu Mungu anaandika "dhambi"!

Jamaa ashachoka kuziandika.
 
dini utapeli mkuu, ishi maisha yako..... hakuna mbingu hakuna kuzimu
 
Majina aliyesema kuna ya kike na kiume.ni mwanadamu

Majina ya Malaika kwanza hayakupaswa kupewa wanadamu

Yale ni.majina yao .Dunia ndio imayaharibu kwa kuyatwaa na kuwapa watoto wao
Ni kama jina Mungu haitakiwi binadamu awe na hilo jina
Jinsia ilianzia huko ndo ikaja duniani
 
Hii dunia ya ajabu sana aisee, vitu vizuri vyote vina masharti magumu sana.

Huwezi kuniambia eti kila kizuri kinaitwa dhambi, nione toto limekaa vizuri, nikilitamani tu...Mungu kashaandika "dhambi", nikienda mbele zaidi nikaliweka...anaandika "dhambi".

Siku nikisema nipige mvinyo kidogo nichangamshe akili, nikizidisha tu Mungu anaandika "dhambi"!

Jamaa ashachoka kuziandika.
We acha tu kila kizuri ni dhambi
 
Jinsia ilianzia huko ndo ikaja duniani
Sio kweli

Biblia inatamka wazi kuwa Mungu alipoumba aliumba mwanaume na mwanamke

Duniani ndio Mungu aliwaachilia hao wengine wanazaliwa sijui sexless ni uhuni wa wanasayansi kuchezea miili ya binadamu kwa ku change genes kupitia midawa mivipodozi na mivyakula yao ya GMO nk.Ndio.inazaliwa hiyo mijitu haileweki jinsia
 
Dini zote duniani zinahubiri kuwa kufanya mapenzi ni dhambi hivyobasi mwanadamu hapaswi kufanya mapenzi na mwanadamu mwezake.
Mwanaume kuwa karibu na mwanamke au kujenga urafiki imekua ikiibua maswali mengi kwa watazamaji.

Kwahiyo swala la jinsia limekuwa likitafsiriwa vibaya sasa tuelezeni kwanini kuna Malaika wa Kiume na Wakike? Kwanini wakawa wa Kiume na Wakike?

Kwanini wasingekuwa jinsia moja kama jinsia haina maana kubwa kama mnavyotudanganya kwamba wanaume tusikutane na wanawake wala wanawake wasikutane na wanaume?
Ipo shida tu kujamiiana na mke asiyekuwa wakwako (kuzini) au kujamiiana kwa watu wasiofunga ndoa (uasherati). Kuna shida kwenye hayo matendo hata kama Mungu asingekuwapo. Nafikiri unajua shida hizo.
 
Kufanya tendo la ndoa ndani ya ndoa siyo dhambi, ila nje ya ndoa.

Malaika wana roho bila miili, hawana jinsia.

Kufanya tendo la ndoa nje ya ndoa tena?
Au ndio mimi sijaelewa?
Mume na mke wanafanya tendo la ndoa,
Mwanaume na mwanamke ikiwa hawajafunga ndoa hapo wanakuwa wanazini/wanafanya uasherati/wanafanya ngono/wanazagamuana/wanadegana/wananyanduana nq miaemo mingine mingi,
Ila kukiwa na ndoa tuu hakuna jina jengine zaidi ya tendo la ndoa,
Hata kujamiiana sio kwa waliooana kwasababau hata wasiooana wanajamiiana,
Lakini waliooana tuu ndio wanafanya tendo la ndoa,
 
Hizo ni hofu tuu kwa wanadamu ila hakuna kosa ukifanya mapenzi na mwanamke au mwanaume. Kosa linatokea pale unavyo ingiza tamaa ya kutaka kufanya na kila mtu.
 
Malaika hawana jinsia. Mbinguni hakuna kuoa wala kuolewa.
Sawa ngoja tukubaliane na kauli hiyo kuwa Malaika hawana jinsia.

Lakini vipi kuhusu muonekano wao usoni, wana sura gani?

Wana sura za kike au za kiume?

Mionekano yao tunaambiwa wana mabawa, ila mi nataka niende deep zaidi.

Nafikiria hapa kwa kutafakari muonekano wa binadamu, muonekano wa binadamu wa jinsia ya kike huwa ana matiti kifuani.

Binadamu wa kiume huwa hana matiti ila ana small nipples tu kwenye kifua.

Sasa nikianza ku imagine huyo Malaika ambaye hana jinsia, kwenye eneo hilo la kifua yeye atakuwa na muonekano gani, ndio nashindwa kupata jibu. Mnaweza kunisaidia wajuzi.
 
Wanatudanganya kwamba hawana jinsia wakati wana jinsia ya kiume na kike. Dini zetu zimejaa porojo hakuna wanalojua zaidi ya kupiga makelele afu wanajifanya sana wanamjua Mungu kumbe hamna lolote.
 
Kwa mrengwa wa kidini kuzini ni dhambi ,ila kiroho kutoa manii ni kupoteza nguvu ya uumbaji inayokufanya wewe uweze kuoperate kwenye ila nguvu kuu , sex ni kwa dhumuni la kuzaliana tu , sex ili kupata raha ni illusion tu na ipo kichwani kwako .
 
Tombaa Broo,,kwa Kiasi na kwa wakati!!!Tunaishi mara moja,,,tunakufa kila siku!!Usizubaishwe na visheria vya kipuuzi vya walimwengu na stori zao za kusadikika wakati na wao wanayafanya sana na kuyafurahia mnoo hayo wanayojifanya wanakukataza wewe usifanye!!
 
Dini zote duniani zinahubiri kuwa kufanya mapenzi ni dhambi hivyobasi mwanadamu hapaswi kufanya mapenzi na mwanadamu mwezake.
Mwanaume kuwa karibu na mwanamke au kujenga urafiki imekua ikiibua maswali mengi kwa watazamaji.

Kwahiyo swala la jinsia limekuwa likitafsiriwa vibaya sasa tuelezeni kwanini kuna Malaika wa Kiume na Wakike? Kwanini wakawa wa Kiume na Wakike?

Kwanini wasingekuwa jinsia moja kama jinsia haina maana kubwa kama mnavyotudanganya kwamba wanaume tusikutane na wanawake wala wanawake wasikutane na wanaume?
Naomba unitajie jina moja la malaika wa kike
 
Back
Top Bottom