Mwanga Mkali
JF-Expert Member
- Jul 8, 2018
- 1,302
- 2,473
Yaani uwezo wako wa kufikiri ni zaidi ya juha... mbwa hana utashi unaojaribu kuufikia wa binadamu hata kwa milimita 1 (will) hana akili kama binadamu hajui neno teknolojia linamaana gani... hajui kama kuna nchi inaitwa Tanzania yenye mjinga mmoja anae amini yeye ni kama mbwa.Kwani we ukila ng'ombe wanakuhubiria? Huwezi sema kula mazao yako ni kosa kwani ye anajua Hilo ..? Nafsi ni Nini? Niambie utashi ni Nini? Kama ndo hivyo kwa Nini Kuna mbwa tofauti, si wangekuwa wote sawa..mbona Kuna wapole wakali waoga wajasiri wavivu etc ... Mbona wanatabia tofauti... If huyo Mungu wako ni fair mbona anawapa free pass? Mbwa anaua anabaka anapiga mbwa wenzake anaibia pia, Ila sio wote wanafanya hivi...it means Kuna mbwa wema na wabaya so by using ur logic na roho zao zinabidi ziende either mbinguni au motoni. Why Sasa haipo hivyo according to storybook yako u call Bible