Hilo swali sio jepesi kama.linavyoonekana.
Casio yupo sahihi. Hapo casio katumia njia yake kasolve kwa kutumia symbol ÷ yaani swali kaliweka hivi 6÷2(1+2) ndio kalisolve.
Tecno na yeye yupo sahihi. Katumia njia yake kasolve kwa kutumia symbol / yaani tecno swali kaliweka hivi kwanza 6/2(1+2) ndio akalisolve.
Jibu la hilo swali limetesa dunia nzima. Ma proffessor wa mathematics havard huko na oxford wanabishana jibu la hilo swali.
Kila jibu lipo sahihi kwa zama zake
calculator ya search engine ya google yenyewe inasema jibu la hilo swali ni 9
View attachment 2937016