Wataalamu wa Hesabu hapa shida ni nini?

Ukishajumlisha 1 na 2 kwenye mabano tayari ushamalizana nayo hayo mabano na inakuwa 6Γ·2Γ—3 ambayo ni 9.
 
Kwani si kuna njia standard..!? Hujiamulii tu kipi kianzale..!! Ni MAGAZIJUTO TU..
 
Hakun cha ajabu kwenye hili swali na halina utata. Kanuni ni moja tu, BODMAS na jibu ni moja tu, 1.

nahisi wewe haujasoma pure mathematics ya A level

kwa mtu aliesoma Pure mathematics lazima ajue kanuni ya order of operations kwenye PEMDAS

According to the order of operations, division and multiplication have the same precedence, so kwa swali kama hilo the correct order is to evaluate from left to right.

yaani swali linafanywa hivi

6Γ·2(1+2)=
6Γ·2(3) =
6Γ·2Γ—3 ( kwa sababu division and multiplication have the same precedence so we evaluate from left to right)
3Γ—3 =
jibu = 9
 
Kwani si kuna njia standard..!? Hujiamulii tu kipi kianzale..!! Ni MAGAZIJUTO TU..

magazijuto ama BODMAS ni kwa hesabu za msingi yaani elementary mathematics. kwenye Advanced mathematics BODMAS inahama na kupewa jina jipya PEMDAS sababu kuna madude ya kuelewa yanaongezeka.

kwa mtu aliesoma Pure mathematics lazima ajue kanuni ya order of operations kwenye PEMDAS

According to the order of operations, division and multiplication have the same precedence, so kwa swali kama hilo the correct order is to evaluate from left to right.

yaani swali linafanywa hivi

6Γ·2(1+2)=
6Γ·2(3) =
6Γ·2Γ—3 ( kwa sababu division and multiplication have the same precedence so we evaluate from left to right)
3Γ—3 =
jibu = 9
 
Sasa hiyo hesabu kwako wewe ni advanced.!?
 
/ Na Γ· hazina utofauti wowote..Rudi shule

Hesabu ni ileile Haina new wala old era

Sasa hiyo hesabu kwako wewe ni advanced.!?

nimesema kwa mtu aliesoma, advanced mathematics lazima ajue kanuni ya order of operations kwenye PEMDAS, kwamba According to the order of operations, division and multiplication have the same precedence.

hayo maneno huwezi kuyajua kama hujasoma Hesabu kwa upana.
 
calculator ya google inasema jibu la hilo swali ni 9. ndipo utajua hujui

View attachment 2937017
Kwamba google ndio anatunga kanuni za hesabu leo? BODMAS ipo kabla ya google, na kanuni hii inataka uuwe kabisa Mabano kabla hujafanya operation nyingine yeyote ile, na ukiuwa mabano unabaki na 6/6, na jibu la hii ni 1 tu.
 
Swali: 6Γ·2(2+1)
Njia
6Γ·2(3)
3(3)
9
Kwa hiyo jawabu ni 9.βœ…βœ…βœ…
Kwahiyo unaanza kugawanya kabla Mabano hayajaondoka? Kanuni inataka umalizane kabisa na mabano hadi yaondoke ndio ufanye operation nyingine
 
Watu wanafeli hapa
6Γ·2(3) hapa ndo watu hawaelewi jibu ni 1 tu.

Sawa nakusema
Hivi

6__ = 1
2Γ—3
 
Hapa tuambie 3 imechomokaje kwenye mabano bila kutomban na 2 πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…