Wataalamu wa Hesabu hapa shida ni nini?

Ndugu, nimesoma Advanced M. Lakini hapa its irrelevant ulichosoma kama hutumiii logic kwenye hiyo BODMAS. Ni kwamba huruhusiwi kufanya operation yeyote ile hadi uhakikishe hakuna kabisa Brackets zimebaki, uuwe kabisa Mabano ndio uguse operation nyingine. Na mabano yanauwawa na operation ya nje, ambayo ni multiplication. Japo kwenye BODMAS inataka gawanya ianze kabla ya multiplication, lakini logic katika BODMAS inadictate Mabano yafe kwanza! Ukiuwa Mabano, unabaki na 6/6, sasa malizia mwenyewe.
 
😂😂😂😂mabingwa wa hesabu wanasema jibu la 1 ni njia iliyopitwa na wakati
View attachment 2936587
Kuna wazungu vilaza ujue 😂Mathematics inapingwa kwa ushahidi wa kihisabati, huwezi kuamka tu ukasema hiyo ni outdated, onyesha ni outdated kivipi, siwezi amka leo nikasema ln e ni 0 sio 1 tena bila kuthibitisha kwa vitendo.
 
Hili ni swali Jepesi sana. Na Casio yupo sahihi
Lazima uanze na mabano kwanza kisha hiyo mbili iliyopo nje ya mabano uizidishe na majibu ya mabano ili upate namba nzima inayofaa kugawanywa na 6. Ambapo jibu sahihi ni 1
 
Sasa mumesoma hesabu hadi A-Level halafu hiyo hesabu kila mmoja anakuja na majibu yake, Si bora mnesoma HKL tu.
Sasa huo ndo utamu wa hesabu, ukiji changa ya kidogo tu umeenda mzima. Lakini kwenye HKL sentence za mwanzo unaweza kuwa umekosea lakini mwishoni mwa paragraph yako ukawa umeandika bonge la points. Na ikawa imepindua makosa yako ya mwanzo. Hesabu ni mchezo wa namba usio yumba wala kupepesa macho.
 
Wewe Ndio hauko sahihi jibu ni Moja.


6÷2(3)=6÷6=1
au
6÷(4+2)=6÷6=1

Unatakiwa uhakikishe hakuna mabano Hadi mwisho
 
Samsung kasema hivyo, nimewaachia hesabu yao 😥😥😥😥
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…