Wataalamu wa Imani na maadili

Wataalamu wa Imani na maadili

Patriot2

Senior Member
Joined
Nov 10, 2022
Posts
169
Reaction score
262
Naamini ukikatazwa dhambi fulani, consequently utakatazwa kushiriki matunda ya dhambi hiyo. Mfano kama wizi ni dhambi, kushiriki manufaa ya mali ya wizi ni dhambi pia.

Sasa swali ni: Kama kunywa pombe ni dhambi, kwa nini uenjoy benefits zake, kama udhamini, miradi inayotokana kodi za vinywani etc isiwe dhambi?
 
Imani ni nini?

Dhambi ni nini?
 
Swali zuri Sana chief

Ni kweli kabisa haifai kabisa kushiriki na manufaa yake pia kwasababu ni zao la dhambi husika

Lakini

Linapokuja swala la serikali kuhudumia wananchi wake Kwa Kodi inayolipwa kutokana na pombe Hilo ni Swala mtambuka Sana,kwasababu Kodi ni mfuko mkubwa ambao unabeba mambo mengi Sana ndani yake na Mungu ndio anajua.

Mfano ni hizi hela/pesa, nyingine ni malipo ya mauji y watu,vitu vya wizi na mambo kadha WA kadha lakini kwakuwa hatujui asili yake hiyo pesa imetoka wapi basi tunamuachia Mungu.

Ila Kwa mujibu wa Imani ya kiislamu mtengeneza pombe ,anayesafirisha pombe,anayeuza na mnywaji wote Wana hatia,na anayeitangaza pia.
 
Back
Top Bottom