Imani ni nini?Naamini ukikatazwa dhambi fulani, consequently utakatazwa kushiriki matunda ya dhambi hiyo. Mfano kama wizi ni dhambi, kushiriki manufaa ya mali ya wizi ni dhambi pia.
Sasa swali ni: Kama kunywa pombe ni dhambi, kwa nini uenjoy benefits zake, kama udhamini, miradi inayotokana kodi za vinywani etc isiwe dhambi?
Swali zuri Sana chiefNaamini ukikatazwa dhambi fulani, consequently utakatazwa kushiriki matunda ya dhambi hiyo. Mfano kama wizi ni dhambi, kushiriki manufaa ya mali ya wizi ni dhambi pia.
Sasa swali ni: Kama kunywa pombe ni dhambi, kwa nini uenjoy benefits zake, kama udhamini, miradi inayotokana kodi za vinywani etc isiwe dhambi?
anzisha uzi utapata majibu. huu nauliza wenye kuelewa imani tayariImani ni nini?
Dhambi ni nini?