Zacht
JF-Expert Member
- Jul 17, 2020
- 1,026
- 2,266
Habari za asubuh .
Kuelekea msimu wa kiangazi ni msimu ambao sisi wakulima tunauita msimu wa kukosa kutokana uhaba wa maji ,
Ila mm Kuna kitu namefikiria kukifanya kwenye sector ya umwagiaji katika kupungaza kutegemea maji ya mvua(kilimo Cha mvua) , nataka nichimbe bwawa kwa ajili ya kuvunia maji ya mvua , lakini sitaki kutegemea maji ya mvua peke yake, pia nataka niweke pemben yake bomba la kisima kwaajili ya kujaza bwawa hilo .
Mfano wa mabwawa yenyewe
Changamoto yangu ipo kwenye hicho kisima Bado Sijafahamu ni kisima Cha namna gani kinatakiwa kuekwa hapo je Cha solar au Cha vipi ,pia gharama .
Mwenye ABC juu ya hili namkaribisha kwa maoni