Dodoma leo
JF-Expert Member
- Jan 7, 2021
- 1,336
- 1,658
Ndio mkuuUpanga?
Kwanini. Unasema siwez mkuu?? Nipe detailsTafuta chumba kinachoendana na hako kamshahara kako...huku uhindini mitaa ya ohio hupawezi wewe...
So nitoke mbagala Mpaka upanga Ndugu Sio mbal sana...Wewe saizi yake Mbagala au Kivule!
Asante Kwa ushaur ila ungenambia bei ya hizo apartmentUpanga sio kama kwenu Nyashimo.
Pili upanga zungumzia Apartment na sio chumba.
Kazi yako kama haina maslahi makubwa hela yote utatumia kulipia nyumba.
Mwisho wa siku lazima uangukie magomeni, kinondoni, makumbusho
Utazoea!!! Dar ni jiji gumu sana, jaribu kwa wagogo Dodoma pengine utapaweza na mshahara wako huo wa kumudu chumba kimoja!!So nitoke mbagala Mpaka upanga Ndugu Sio mbal sana...
Yaani chumbanna sebule Upanga?
Asante Kwa ushauriTafuta chumba magomeni...
Apartment kwa mwezi ni millioni 12 unayo wewe mgagaa na upwa..Kwanini. Unasema siwez mkuu?? Nipe details
Kwa swali hili ndugu yangu nakushauri acha ndoto za mchana. Kumbe unataka uishi Upanga kisa unafanya kazi hapo? Hizo gharama unazokwepa utazilipa mara nne ukiishi Upanga, hakuna huduma za Kiswahili kule kila kitu gharama haijalishi hata mamantilie ambao ni wachache.So nitoke mbagala Mpaka upanga Ndugu Sio mbal sana...