Dodoma leo
JF-Expert Member
- Jan 7, 2021
- 1,336
- 1,658
- Thread starter
- #21
Apartment kwa mwezi ni millioni 12 unayo wewe mgagaa na upwa..
Asante Kwa ushauriKwa swali hili ndugu yangu nakushauri acha ndoto za mchana. Kumbe unataka uishi Upanga kisa unafanya kazi hapo? Hizo gharama unazokwepa utazilipa mara nne ukiishi Upanga, hakuna huduma za Kiswahili kule kila kitu gharama haijalishi hata mamantilie ambao ni wachache.
Kapange hata Magomeni ndio karibu kabisa na usafiri hausumbui any time. Vyumba vya kutosha na gharama stahimilifu