Wataalamu wa Jiji vyumba maeneo ya upanga na maeneo jirani vinasomekaje

Apartment kwa mwezi ni millioni 12 unayo wewe mgagaa na upwa..

Asante Kwa ushauri
 
Magomeni, kinondoni shamba, mwananyamala, kijitonyama, msasani, mwenge
 
Matajiri wa upanga wameanza lin kujenga chumba na sebule
 
Kama wewe ni ke nicheki tushee rum
 
Mkuu unapajua Upanga au unapasikia tu?

Kule hakuna mambo ya chumba na sebule kwanza. Apartment ghorofa ya 16, fully furnished laki 6 kwa mwezi.
Interested?
PM
 
Mkuu unapajua Upanga au unapasikia tu?

Kule hakuna mambo ya chumba na sebule kwanza. Apartment ghorofa ya 16, fully furnished laki 6 kwa mwezi.
Interested?
PM
Soma heading na content Ndugu, kama Sio upanga, maeneo jiran Ambyo yatakuja affordable.. watu hata hamsomi nini nimeandika mnaishia kusema upanga upanga tu..
 
Soma heading na content Ndugu, kama Sio upanga, maeneo jiran Ambyo yatakuja affordable.. watu hata hamsomi nini nimeandika mnaishia kusema upanga upanga tu..
Maeneo ya karibu na upanga ni Kinondoni,mwananyamala,magomeni huko ni nafuu mkuu
 
Upanga na maeneo jirani ambayo ni posta, kariakoo, oysterbay hakuna kitu kinaitwa chumba na sebule.
Ni apartments tu na bei imechangamka sana, kwa haraka haraka unapata ya laki 6.
Nakushauri, kakae kinondoni, mwananyamalaa, magomeni, kigamboni. Huko pia Bei imechangamka Ila sio sawa na ya upanga au posta au kariakoo
 
Ndio maana wengi tunashindwa mitihani.., jamaa anaulizia bei majibu yanakuja wewe huwezi kumudu bei....

Anyway... tutafika tu, ingawa tutakuwa tumechoka....
Tatizo aliposema tu chumba na sebule, hapo ndio wengi tumeonaa bei haziwezi kwa maana upanga hakuna mambo ya chumba sebule. Na pia imeonyesha hapajui vizuri upanga.
 
Ndio maana wengi tunashindwa mitihani.., jamaa anaulizia bei majibu yanakuja wewe huwezi kumudu bei....

Anyway... tutafika tu, ingawa tutakuwa tumechoka....
Ndugu wavumilie tu hawa Ndugu zëtu haina namna, unauliza LKn ye ashakujua kwa kila kitu. Wanaona kila kitu hakiwezkn na hicho Ndo kinachotufelisha sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…