Dodoma leo
JF-Expert Member
- Jan 7, 2021
- 1,336
- 1,658
- Thread starter
-
- #41
Ukweli cpajui kiundan boss, kitu MTU anachokijua atauliza Ndugu. Acha tuendelee kupambana. Tukutane upanga au maeneo jiran. Chumba na sebule oyeeeeTatizo aliposema tu chumba na sebule, hapo ndio wengi tumeonaa bei haziwezi kwa maana upanga hakuna mambo ya chumba sebule. Na pia imeonyesha hapajui vizuri upanga.
Akashare room umri huoUkishindwana bei za appartment zinaanzia 400,000 kwa mwezi, tafuta hostel around 100,000 kwa mwezi umeme, maji juu yao ila ndo hostel tena unashare room
Maeneo ya jirani na Upanga ni Kariakoo, Posta, Kisutu.....unayaweza?Soma heading na content Ndugu, kama Sio upanga, maeneo jiran Ambyo yatakuja affordable.. watu hata hamsomi nini nimeandika mnaishia kusema upanga upanga tu..
Soma heading na content Ndugu, kama Sio upanga, maeneo jiran Ambyo yatakuja affordable.. watu hata hamsomi nini nimeandika mnaishia kusema upanga upanga tu..
Acha kumdanganya.Pale karibu na shule ya Msingi Muhimbili unapata. Tena bei chee tu.
Magomeni na Upanga umbali gani?Maeneo ya jirani na Upanga ni Kariakoo, Posta, Kisutu.....unayaweza?
Huko Kino, Mwanayamala,Magomeni sio jirani sema tu patakufaa.
Wabongo bhana, sijui hua ni umri wenu ndiyo mdogo bado mna ujana au ni mna tatizo la akiliUpanga sio kama kwenu Nyashimo.
Pili upanga zungumzia Apartment na sio chumba.
Kazi yako kama haina maslahi makubwa hela yote utatumia kulipia nyumba.
Mwisho wa siku lazima uangukie magomeni, kinondoni, makumbusho
wabongo wengi ni watu wajinga wajinga sana, yaani mtu anakurupuka tu kuponda, mtu anaweza kuuliza hivyo na bado akawa na uwezo wa hizo laki6 per month...Ndio maana wengi tunashindwa mitihani.., jamaa anaulizia bei majibu yanakuja wewe huwezi kumudu bei....
Anyway... tutafika tu, ingawa tutakuwa tumechoka....
Huo ni ushamba tu, mtu humjui unakurupuka tu, hujawahi ona mtu anaingia showroom anakagua Starlet na IST lakini kumbe anahitaji Land Cruiser? WaTanzania hua mna ushamba mwingi sana na ujuaji wa kipuuzi usio tijaTatizo aliposema tu chumba na sebule, hapo ndio wengi tumeonaa bei haziwezi kwa maana upanga hakuna mambo ya chumba sebule. Na pia imeonyesha hapajui vizuri upanga.
Magomeni gani? Kuanzia agentina hadi huku Jangwani?Magomeni na Upanga umbali gani?
Magomeni mapipa/jangwani siyo mbali na Upanga- umbali wa kutembea bila shida.Magomeni gani? Kuanzia agentina hadi huku Jangwani?
Mh wapi hapoPale karibu na shule ya Msingi Muhimbili unapata. Tena bei chee tu.