Wataalamu wa jukwaa la technology, kuuliza si ujinga

Wataalamu wa jukwaa la technology, kuuliza si ujinga

cleokippo

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2014
Posts
2,118
Reaction score
1,797
Habar wana technology, kama kichwa cha habar kinavyojieleza hapo juu keamba kuuliza si ujinga

Naomba kufaham , hivi unaweza uka dowload app ya camera kwenye pc?

Kama inawezekana , ipi ni camera kali yenye picha nzur na hd? Laptop ni

Dell
13 generation

chief mkwawa
 
Kama laptop ina camera basi ina app ya camera teyari inaitwa Camera. Ubora wa picha unatokana na ubora wa camera sio app.
 
Back
Top Bottom