Josephat Sanga
Senior Member
- Aug 29, 2016
- 151
- 98
Wataalamu huu ni ugonjwa gani mhusika anasema ahisi maumivu yoyote.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa kama ahisi shida iko wapi. Leta picha basi tuone.
Samahani kuchelewa attach picture tayali nishaweka pictureSasa kama ahisi shida iko wapi. Leta picha basi tuone.
Haijatokea kwenye mboni ya jicho ni pembeni ya jichoNi cataract huku kwetu unaitwa mtoto wa hicho. Unafanyiwa upasuaji na unawekewa lens mpya.
Ndo hiyo cataractHaijatokea kwenye mboni ya jicho ni pembeni ya jicho
OkayNdo hiyo cataract
Hizi sio akili za kichaga. Itakuwa umekopi jinaChukua wembe fyekelea mbali hicho kinyama na ikikupendeza unaweza kichoma mshikaki ukala
Pole.
Shukrani kwa ushauri kiongozi baada. Ya ushauri wako kaenda hospital kapatiwa hii dawa adondoshee kila baada ya masaa sitaPole.
Hiyo inaitwa Pterygium ,Mara nyingi inatokea Kwa wale ambao macho yao ni makavu , wavuta sigara, kufanya kazi kwenye mazingira ya vumbi n .k
Kwa sababu Inakua kuelekea kwa Pupil na kutengeneza Kovu la Kornea , mtu hupoteza uwezo wa kuona ikiwa hatopata Matibabu.
Katafute hizi [emoji116]
Hydroxypropylmethylcellulose 0.7%, ophthalmic drops ,utadondosha tone Moja Moja Kila baada ya masaa 6 Kila siku Kwa kadiri itakavyohitajika ili kuondoa ukavu wa jicho.
Dexamethasone + Gentamicin eye drops 0.1 % Dondosha tone Moja Moja Kila baada ya Masaa 6 Kwa wiki 4 .
Mwisho, usiache kwenda Hosp ,Jicho halina Spea Bob !!
Sawa ni sahihi pia maana ndani yake Ina hizo dawa , aendelee nayo piaShukrani kwa ushauri kiongozi baada. Ya ushauri wako kaenda hospital kapatiwa hii dawa adondoshee kila baada ya masaa sitaView attachment 2168883
ShukraniSawa ni sahihi pia maana ndani yake Ina hizo dawa , aendelee nayo pia
Kama anahisi ukavu jichoni ,aongezee nahiyo ya kwanza juu .
Nakazia hapa: Jicho halina SpeaMwisho, usiache kwenda Hosp ,Jicho halina Spea Bob!!
Dah!Nakazia hapa: Jicho halina Spea
Nashukuru kwa ushauri wakoAise nilishawahi kupata hii kitu kilianza kma tone la damu jichoni baadae kikawa kinyam kidogo hakiumi wala ila muda ulivozidi kwenda kilikuwa kinaongezeka nlikuwaga tanga by then nikaamua kwenda hospital bombo nilifanyiwa operation ndogo ya jicho wakakikata baada ya hapo sikuwahi kuugua tena ilikuwa 2016
Kaenda hospitali ipi mkuu??Shukrani kwa ushauri kiongozi baada. Ya ushauri wako kaenda hospital kapatiwa hii dawa adondoshee kila baada ya masaa sitaView attachment 2168883