Wataalamu wa macho huu ugonjwa gani?

Wataalamu wa macho huu ugonjwa gani?

Kaenda hospitali ipi mkuu??
Kaonana na Ophthalmologist (daktari bingwa wa macho) kabisaa au daktari wa kawaida??
Napata wasiwasi kidogo, maana inawezekana ikawa pterygium kama alivosema Carlos The Jackal
au otherwise ( OSSN).
Ila kama alionana na Ophthalmologist, basi kheri.
Hapo kwa mtaalamu yupi kitendawili kwani hawa wenzetu kutambua huyu ndie mtalamu ni vigumu mpaka uambiwe zaidi utaona tu daktari wa macho sasa kujua uyu ndie mtaalamu ni suala kingine
 
Back
Top Bottom