Kaenda hospitali ipi mkuu??
Kaonana na Ophthalmologist (daktari bingwa wa macho) kabisaa au daktari wa kawaida??
Napata wasiwasi kidogo, maana inawezekana ikawa pterygium kama alivosema
Carlos The Jackal
au otherwise ( OSSN).
Ila kama alionana na Ophthalmologist, basi kheri.