Nehemia Kilave
JF-Expert Member
- Jan 9, 2022
- 1,414
- 3,118
Mhhh imagine umetuma hela Kwa bibi Yako Huko Itaka ama Itaka ndipo unamwambia nenda YAS WAKAKUMIXX BY YAAS utaona kama bibi Yako hajalala njaaMtaji~mix kwenye miamala hadi mumtoe mama tozo mwakani
Ndo kilichobakia. Insingiza hasara kwakuendekeza ukiritimba. Yan mtej unataka huduma unawafuata hadi unachoka. Yan unaweza kuwaza hawakutaki ndugu mtejaNa TTCL iuzwe tu
Lakini bado sio jina zuri kibiashara na kujitangazaKwa hisia zangu. Kumbuka tigo imenunuliwa na kampuni ya Axian pamoja na Fintech zote za kiafrica. Lkn yas sio brand ya tanzania tu ni pamoja na nigeria, senegal, tanzania na nchi zingine 2 hv ambazo nmezisahau zote zinatumia brand ya YAS kama kampuni na MIXX BY YAS kama huduma za kipesa. Nafkr n kwa sababu 2
1. Kuweka usawa wa jina katika nchi zote hii Axian company inafanya kazi
2. Mixx by Yas. Kuonesha ni muungano wa Fintech na Axian
Wanaponunua kampuni, na madeni nayo wanayanunua?Kwa hisia zangu. Kumbuka tigo imenunuliwa na kampuni ya Axian pamoja na Fintech zote za kiafrica. Lkn yas sio brand ya tanzania tu ni pamoja na nigeria, senegal, tanzania na nchi zingine 2 hv ambazo nmezisahau zote zinatumia brand ya YAS kama kampuni na MIXX BY YAS kama huduma za kipesa. Nafkr n kwa sababu 2
1. Kuweka usawa wa jina katika nchi zote hii Axian company inafanya kazi
2. Mixx by Yas. Kuonesha ni muungano wa Fintech na Axian
Sasa kwanini wanatuletea usengerema wa Roaming??? Ilipaswa ukianda hizo nchi hakuna kusajiri laini unatumia hiyohiyoNchi zinazotumia brand moja ya YAS na miamala MIXX BY YAS ni
Madagascar,
Comoros,
Reunion and Mayotte,
Senegal,
Togo,
Uganda,
DRC and
Tanzania
serving around 38 million customers.
HakikaNafikiri mshauri wao upande wa lugha kafeli!, Biashara inatakiwa inapinduka pinduka kufuata watu haswa kwa biashara inayohusu lika zote.
Si hivyo tu hata tamaduni za watu husika inaweza ikachukua baadhi kwa zile zinazofaa! hakukuwa na shida yoyote kuita "Yas pesa" ni rahisi kwa watumiaji wa Tanzania, amasivyo wangeita hata "Yas money" ni rahisi pia kwa mtanzania kueleweka !.
Ningekuwa mi ndo mshauri wao kwenye kikao lazima ningetoa mtu nundu..🤣
Hata nami sijawaelewa kwa kweli, hasa kwetu uswahilini haijakaa vizuri naona!Lakini bado sio jina zuri kibiashara na kujitangaza