Wataalamu wa "Marketing" nitoeni tongo tongo kwa hili jina

Wataalamu wa "Marketing" nitoeni tongo tongo kwa hili jina

Kapeace, tafadhari nakupa mwaliko sikuu ya mapinduzi tukutane USIYEMPENDA KAJA LEO BAR, maana putin hata uwepo hapo... nahisi itapendeza zaidi
 
Habari za mwamko woote.

Heri ya sikukuu ya mapinduzi ya ZNZ hapo 12/1/2018 siku ya Ijumaa (nawapa in advance).

Direct kwenye mada yangu. Naomba wataalamu wa masoko mnisaidie jina la hii baa.
Kuna baa mpya imefunguliwa eneo la Kahama - Buswelu karibu na ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Ilemela - Mwanza. Jina la Baa hiyo kwa kweli limenichanganya kidogo hivyo nikaona kwa kuwa JF imejaa wataalamu wa kila nyanja basi niwaombe wataalamu wa masoko wanitoe tongo tongo. Baa hiyo mpya, yenye hadhi ya kawaida jina lake ni "USIYEMPENDA LEO KAJA BAR".

Nilijaribu kuvuta picha labda Mgibeon ananipa mwaliko kuwa Nahuja tafadhali nakualika kupata kinywaji pale baa ya Usieyempenda Leo Kaja. Au hata Tantaw anamwalika Shunie, please Shunie karibu sana pale USIYEMPENDA LEO KAJA BAR nina maongezi na wewe.

Ni hayo tu kwa leo. Shikamoo kaka Jiwedogo
inapata wateja au haipat? kama inapata hakuna shida, kama haipat labda ni kwa sababu vyuma havina grisi
 
USIYEMPENDA LEO KAJA hahahaha, ila kwa kweli kuna wakati mwingine tunatakiwa kuwa makini na majina ya biashara zetu. hahahahah. habari za asubuhi mtu wa Mungu?

Hayo majina yanavutia, mtu anapata mshawasha wa kwenda kuona kuna kipi cha ziada hapo..

Ni nzuri, Mungu ni mwema. Sijui kwa upande wako huko ulipo!
 
inapata wateja au haipat? kama inapata hakuna shida, kama haipat labda ni kwa sababu vyuma havina grisi
Wateja ninaowaona ni vijana wa hapo hapo jirani na baa, wanakuja wanazunguka meza wako wengi wanaagiza soda zao na kuomba muhusika wa counter aongeze sauti ya redio iwe ya juu saaanaaa
 
Hayo majina yanavutia, mtu anapata mshawasha wa kwenda kuona kuna kipi cha ziada hapo..

Ni nzuri, Mungu ni mwema. Sijui kwa upande wako huko ulipo!
Nimeamka salama kabisa.
 
Aiseee... Hilo jina limenikumbusha majina ya bar hizi;

@Matako Bar-Mianzini Arusha

Simba kapakatwa- Dar
hahahahaha, hata hapa Mwanza eneo la kata ya Kitangiri kuna hiyo Matako Baa, pia kata ya Igoma ipo na kule Kasulu Kigoma pia niliiona hahahahahaha.
tehe tehe tehe
 
Nimefurahi kusikia hivyo, Mungu ni mwema!
Ila kuna huyo anayejiita The List anataka kuniharibia siku na kunitafutia BAN amekuwa mara nyingi kwa ID zake nyingine ananitusi eti mimi ni mwanamme lakini najifanya mwanamke kuna hata wakati alishanipandishia thread, sasa naona tena mwaka huu kanianza tena, ila nimemwambia hanipati na wala sina muda wa kumtukana maana sitaki BAN najijua nina matusi mabaya sana, kiasi kwamba nikianza kumtukana mods lazima watanikata kichwa kwa BAN
 
  • Thanks
Reactions: lup
Wateja ninaowaona ni vijana wa hapo hapo jirani na baa, wanakuja wanazunguka meza wako wengi wanaagiza soda zao na kuomba muhusika wa counter aongeze sauti ya redio iwe ya juu saaanaaa
kwanza jina lenyewe ni refu saana kutamka ,,halafu halina mvuto ,,,sasa napata mashaka kama mwenye baa uliosema anaitwa mashaka
 
Ila kuna huyo anayejiita The List anataka kuniharibia siku na kunitafutia BAN amekuwa mara nyingi kwa ID zake nyingine ananitusi eti mimi ni mwanamme lakini najifanya mwanamke kuna hata wakati alishanipandishia thread, sasa naona tena mwaka huu kanianza tena, ila nimemwambia hanipati na wala sina muda wa kumtukana maana sitaki BAN najijua nina matusi mabaya sana, kiasi kwamba nikianza kumtukana mods lazima watanikata kichwa kwa BAN

Nimemuona huyo kiumbe, asikuharibie siku. Huku kuna watu wanajifanya wanajua watu kuliko mtu mwenyewe anavyojijua.

Si unajua ukipata BAN kule jukwaani kwetu patapoa.Hahahahahahaaha!!
 
Nimemuona huyo kiumbe, asikuharibie siku. Huku kuna watu wanajifanya wanajua watu kuliko mtu mwenyewe anavyojijua.

Si unajua ukipata BAN kule jukwaani kwetu patapoa.Hahahahahahaaha!!
Na huyu si ndie yule HR 66 mara ajiite YEEZUS, curriculum, jojipola na ma ID mengine lundo. Mwaka jana alinisababishia BAN mara mbili kwa hiyo mwaka huu namuacha tu.
Huwa bangi zake kuna wakati ana anzisha thread kwa ID moja halafu anajijibu na ID zake zingine.
 
Si ndio maana nikaona niwashirikishe nyie wataalamu wa masomo ndugu yangu Ipananga kulwa maana hata mie niliona kama jina halijaa vizuri sana
mwisho namalizia hivi,,
,,KIMUINGIACHO MTU NAJISI BALI KIMTOKACHO MTU NDIO NAJISI
 
Na huyu si ndie yule HR 66 mara ajiite YEEZUS, curriculum, jojipola na ma ID mengine lundo. Mwaka jana alinisababishia BAN mara mbili kwa hiyo mwaka huu namuacha tu.
Huwa bangi zake kuna wakati ana anzisha thread kwa ID moja halafu anajijibu na ID zake zingine.

Namna hiyo, muache afanye anavyotaka! Umeshamtumia Mgibeon ile picha PM!?
 
Back
Top Bottom