Wataalamu wa "Marketing" nitoeni tongo tongo kwa hili jina

Wataalamu wa "Marketing" nitoeni tongo tongo kwa hili jina

Bar iko vizuri kabisa.

Hapana ni majina ya wapare ya wanawake. Huyo The List huwa ananichimba tu mara nyingi kwa ID zake zingine but sasa nimeamua kumpotezea
Mpuuze huyo kuna watu vyuma vimekatika hata grisi haifai tena

Ntaitafuta hiyo bar
 
karibu sana mpendwa.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ukirudi uje uniambie ww ni ME au KE?
 
Huu uzi naona umekaa kibuswelubuswelu Mimi ni mkurya wa morotonga ngoja nielekee zangu wanyancha bar.
 
Ila kama kuna mtu mwenye ID nyingi hapa JF wewe unaongoza, sasa hadi na hii kumbe ni yako. Umenichafua roho mara mbili nikakutukana nikapigwa BAN hebu niache sitaki kupata BAN mwaka huu 2018.
Kila mara huwa nakuuliza hivi unaweza vipi kukumbuka pass word zooote hizo?
Mwisho kabisa naomba usinichafulie uzi wangu. wewe ni bwe.ge tu kama unavyojua kuweka thread kwa ID yako moja halafu unajijibu wewe mwenyewe kwa ID nyingine. Joseverest yule mwizi wa siku zile wa Avatar yako naona tena ana ID hii hapa.
Mmh hii ni hatari
 
hahahhahha, sasa cha ajabu jirani yake kuna mwingine kafungua anaiita "UMPENDAYE KAJA"
Yaelekea walikuwa wana mabifu yao ya biashara.
Kumbe swaiba now upo mkoa sio ukirudi niletee zawadi basi but usimwambie mtu njoo tu pm kimya kimya
 
Back
Top Bottom