Wataalamu wa "Marketing" nitoeni tongo tongo kwa hili jina

Wataalamu wa "Marketing" nitoeni tongo tongo kwa hili jina

Ila kuna huyo anayejiita The List anataka kuniharibia siku na kunitafutia BAN amekuwa mara nyingi kwa ID zake nyingine ananitusi eti mimi ni mwanamme lakini najifanya mwanamke kuna hata wakati alishanipandishia thread, sasa naona tena mwaka huu kanianza tena, ila nimemwambia hanipati na wala sina muda wa kumtukana maana sitaki BAN najijua nina matusi mabaya sana, kiasi kwamba nikianza kumtukana mods lazima watanikata kichwa kwa BAN
Ukweli ni up I, wewe ni mwanaume au Mwanamke???
 
Mimi ni mwanamke mwenye UKE wenye heshima ACHANA na huyo The List naona ameshanitafuta sana kwa kutumia ID zingine. namdharau tu sitaki tena BAN mwaka huu
Ukweli jirani mi miaka yote najua we ni mwanaume.... hope uko salama, ila tuambiane ukweli hapo bar na chimbo jipya umepajuaje maana sisi ni watoto wa rock city mall. Au ndio mmmmm[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Hiyo inamaana Kua unaweza ukawa unakunywa hapo afu kwenu ni walokole sasa uko na marafikj zako Mnashusha one two afu dingi anaingia hapo sasa ndo msemo huo unapotumika.....
 
karibu, wee si unakaa Ghana, sasa kama huna gari binafsi, basi panda costa za Buswelu - Ilalila kituo ni pale mitimirefu au wengine wanaita Mohamed halafu uombe kushushwa kituo cha KWA MASHAKA ukiangalia upande wa pili utaiona baa yetu pendwa hahahahaahha.
 
  • Thanks
Reactions: lup
Hiyo inamaana Kua unaweza ukawa unakunywa hapo afu kwenu ni walokole sasa uko na marafikj zako Mnashusha one two afu dingi anaingia hapo sasa ndo msemo huo unapotumika.....
hahahahahaaah, umeweza mbali kweli Gucci gang tehe tehe tehe hahahahahah
 
karibu, wee si unakaa Ghana, sasa kama huna gari binafsi, basi panda costa za Buswelu - Ilalila kituo ni pale mitimirefu au wengine wanaita Mohamed halafu uombe kushushwa kituo cha KWA MASHAKA ukiangalia upande wa pili utaiona baa yetu pendwa hahahahaahha.
Au unahisa umo mbona kama ndio unaitagaza.. nitakuja kwa Heshima yako
 
Au unahisa umo mbona kama ndio unaitagaza.. nitakuja kwa Heshima yako
ngoja niku PM namba yangu
Umeiona namba huko PM?
Bahati nzuri tumeongea kwenye simu kwa kirefu haya sasa mwambie huyo bwege The List kama mimi ni dume au jike. lup ila usimpe namba zangu wala details zangu nyau huyo The List
 
  • Thanks
Reactions: lup
Kapeace, tafadhari nakupa mwaliko sikuu ya mapinduzi tukutane USIYEMPENDA KAJA LEO BAR, maana putin hata uwepo hapo... nahisi itapendeza zaidi
Hahahahahah ntakuja nipo jirani saiv ila Hilo jina la baa sasa[emoji134] [emoji134] [emoji134]
 
Mimi ni mwanamke mwenye UKE wenye heshima ACHANA na huyo The List naona ameshanitafuta sana kwa kutumia ID zingine. namdharau tu sitaki tena BAN mwaka huu
Jina linazingua mi mwenyewe nilijuaga wewe ni me[emoji125] [emoji134] [emoji134]
 
Hilo jina sasa la bar refu halafu km halivutii hiyo bar sijui inafananaje
Bar iko vizuri kabisa.
Jina linazingua mi mwenyewe nilijuaga wewe ni me[emoji125] [emoji134] [emoji134]
Hapana ni majina ya wapare ya wanawake. Huyo The List huwa ananichimba tu mara nyingi kwa ID zake zingine but sasa nimeamua kumpotezea
 
Back
Top Bottom