lup
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 2,514
- 2,741
Ukweli ni up I, wewe ni mwanaume au Mwanamke???Ila kuna huyo anayejiita The List anataka kuniharibia siku na kunitafutia BAN amekuwa mara nyingi kwa ID zake nyingine ananitusi eti mimi ni mwanamme lakini najifanya mwanamke kuna hata wakati alishanipandishia thread, sasa naona tena mwaka huu kanianza tena, ila nimemwambia hanipati na wala sina muda wa kumtukana maana sitaki BAN najijua nina matusi mabaya sana, kiasi kwamba nikianza kumtukana mods lazima watanikata kichwa kwa BAN