inapata wateja au haipat? kama inapata hakuna shida, kama haipat labda ni kwa sababu vyuma havina grisiHabari za mwamko woote.
Heri ya sikukuu ya mapinduzi ya ZNZ hapo 12/1/2018 siku ya Ijumaa (nawapa in advance).
Direct kwenye mada yangu. Naomba wataalamu wa masoko mnisaidie jina la hii baa.
Kuna baa mpya imefunguliwa eneo la Kahama - Buswelu karibu na ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Ilemela - Mwanza. Jina la Baa hiyo kwa kweli limenichanganya kidogo hivyo nikaona kwa kuwa JF imejaa wataalamu wa kila nyanja basi niwaombe wataalamu wa masoko wanitoe tongo tongo. Baa hiyo mpya, yenye hadhi ya kawaida jina lake ni "USIYEMPENDA LEO KAJA BAR".
Nilijaribu kuvuta picha labda Mgibeon ananipa mwaliko kuwa Nahuja tafadhali nakualika kupata kinywaji pale baa ya Usieyempenda Leo Kaja. Au hata Tantaw anamwalika Shunie, please Shunie karibu sana pale USIYEMPENDA LEO KAJA BAR nina maongezi na wewe.
Ni hayo tu kwa leo. Shikamoo kaka Jiwedogo
USIYEMPENDA LEO KAJA hahahaha, ila kwa kweli kuna wakati mwingine tunatakiwa kuwa makini na majina ya biashara zetu. hahahahah. habari za asubuhi mtu wa Mungu?
Wateja ninaowaona ni vijana wa hapo hapo jirani na baa, wanakuja wanazunguka meza wako wengi wanaagiza soda zao na kuomba muhusika wa counter aongeze sauti ya redio iwe ya juu saaanaaainapata wateja au haipat? kama inapata hakuna shida, kama haipat labda ni kwa sababu vyuma havina grisi
Nimeamka salama kabisa.Hayo majina yanavutia, mtu anapata mshawasha wa kwenda kuona kuna kipi cha ziada hapo..
Ni nzuri, Mungu ni mwema. Sijui kwa upande wako huko ulipo!
Nimeamka salama kabisa.
hahahahaha, hata hapa Mwanza eneo la kata ya Kitangiri kuna hiyo Matako Baa, pia kata ya Igoma ipo na kule Kasulu Kigoma pia niliiona hahahahahaha.Aiseee... Hilo jina limenikumbusha majina ya bar hizi;
@Matako Bar-Mianzini Arusha
Simba kapakatwa- Dar
Ila kuna huyo anayejiita The List anataka kuniharibia siku na kunitafutia BAN amekuwa mara nyingi kwa ID zake nyingine ananitusi eti mimi ni mwanamme lakini najifanya mwanamke kuna hata wakati alishanipandishia thread, sasa naona tena mwaka huu kanianza tena, ila nimemwambia hanipati na wala sina muda wa kumtukana maana sitaki BAN najijua nina matusi mabaya sana, kiasi kwamba nikianza kumtukana mods lazima watanikata kichwa kwa BANNimefurahi kusikia hivyo, Mungu ni mwema!
kwanza jina lenyewe ni refu saana kutamka ,,halafu halina mvuto ,,,sasa napata mashaka kama mwenye baa uliosema anaitwa mashakaWateja ninaowaona ni vijana wa hapo hapo jirani na baa, wanakuja wanazunguka meza wako wengi wanaagiza soda zao na kuomba muhusika wa counter aongeze sauti ya redio iwe ya juu saaanaaa
Ila kuna huyo anayejiita The List anataka kuniharibia siku na kunitafutia BAN amekuwa mara nyingi kwa ID zake nyingine ananitusi eti mimi ni mwanamme lakini najifanya mwanamke kuna hata wakati alishanipandishia thread, sasa naona tena mwaka huu kanianza tena, ila nimemwambia hanipati na wala sina muda wa kumtukana maana sitaki BAN najijua nina matusi mabaya sana, kiasi kwamba nikianza kumtukana mods lazima watanikata kichwa kwa BAN
Si ndio maana nikaona niwashirikishe nyie wataalamu wa masomo ndugu yangu Ipananga kulwa maana hata mie niliona kama jina halijaa vizuri sanakwanza jina lenyewe ni refu saana kutamka ,,halafu halina mvuto ,,,sasa napata mashaka kama mwenye baa uliosema anaitwa mashaka
Na huyu si ndie yule HR 66 mara ajiite YEEZUS, curriculum, jojipola na ma ID mengine lundo. Mwaka jana alinisababishia BAN mara mbili kwa hiyo mwaka huu namuacha tu.Nimemuona huyo kiumbe, asikuharibie siku. Huku kuna watu wanajifanya wanajua watu kuliko mtu mwenyewe anavyojijua.
Si unajua ukipata BAN kule jukwaani kwetu patapoa.Hahahahahahaaha!!
mwisho namalizia hivi,,Si ndio maana nikaona niwashirikishe nyie wataalamu wa masomo ndugu yangu Ipananga kulwa maana hata mie niliona kama jina halijaa vizuri sana
sawa, ila naona kama ulitaka kusema "kimuingiacho mtu sio najisi....mwisho namalizia hivi,,,,KIMUINGIACHO MTU NAJISI BALI KIMTOKACHO MTU NDIO NAJISI
yaaap Ila batansi zmeteleza hapasawa, ila naona kama ulitaka kusema "kimuingiacho mtu sio najisi....
barikiwayaaap Ila batansi zmeteleza hapa
Na huyu si ndie yule HR 66 mara ajiite YEEZUS, curriculum, jojipola na ma ID mengine lundo. Mwaka jana alinisababishia BAN mara mbili kwa hiyo mwaka huu namuacha tu.
Huwa bangi zake kuna wakati ana anzisha thread kwa ID moja halafu anajijibu na ID zake zingine.