karibu sana mpendwa.Mpuuze huyo kuna watu vyuma vimekatika hata grisi haifai tena
Ntaitafuta hiyo bar
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ukirudi uje uniambie ww ni ME au KE?karibu sana mpendwa.
JF ina watu na viatu kwa kweliMpuuze huyo kuna watu vyuma vimekatika hata grisi haifai tena
Ntaitafuta hiyo bar
Usisahau kuniita nikuje kupiga mambo zangu
ushakula BANMimi ni mwanamke mwenye UKE wenye heshima ACHANA na huyo The List naona ameshanitafuta sana kwa kutumia ID zingine. namdharau tu sitaki tena BAN mwaka huu
ushakula BAN du! poleeMimi ni mwanamke mwenye UKE wenye heshima ACHANA na huyo The List naona ameshanitafuta sana kwa kutumia ID zingine. namdharau tu sitaki tena BAN mwaka huu
He heWewe tena mtoto wa kitanga utaanzaje kusahaulika!!
Mmh hii ni hatariIla kama kuna mtu mwenye ID nyingi hapa JF wewe unaongoza, sasa hadi na hii kumbe ni yako. Umenichafua roho mara mbili nikakutukana nikapigwa BAN hebu niache sitaki kupata BAN mwaka huu 2018.
Kila mara huwa nakuuliza hivi unaweza vipi kukumbuka pass word zooote hizo?
Mwisho kabisa naomba usinichafulie uzi wangu. wewe ni bwe.ge tu kama unavyojua kuweka thread kwa ID yako moja halafu unajijibu wewe mwenyewe kwa ID nyingine. Joseverest yule mwizi wa siku zile wa Avatar yako naona tena ana ID hii hapa.
Niko huru sasa mkuu Metakelfinushakula BAN du! polee
...aisee we demu unapenda kucheka!Niko huru sasa mkuu Metakelfin
hahahhahha, sasa cha ajabu jirani yake kuna mwingine kafungua anaiita "UMPENDAYE KAJA"Itakuwa hilo bango kila analoliona analielewa kivyake
Kumbe swaiba now upo mkoa sio ukirudi niletee zawadi basi but usimwambie mtu njoo tu pm kimya kimyahahahhahha, sasa cha ajabu jirani yake kuna mwingine kafungua anaiita "UMPENDAYE KAJA"
Yaelekea walikuwa wana mabifu yao ya biashara.
ππππππππKumbe swaiba now upo mkoa sio ukirudi niletee zawadi basi but usimwambie mtu njoo tu pm kimya kimya