Wataalamu wa mchezo wa draft tu:Je mwenye nyekundu anaweza kwepa kufungwa supa hapo?

Hilo ni supa.

Nyekundu anacheza kete ya nyuma.

Wa blue anakata. Anamngoja nyekundu acheze popote.

Halafu anambana.

Je wa nyekundu akianza kwa kuitema hiyo ya kukatwa halafu akatoka na ile ya nyuma?
 
Sasa utamzuia kwenda king?

Hebu iangalie vizuri uone kama haiendi king.
Hii ya rangi nyekundu iliyokua inazuiwa na ya meja ikianza kutembea unaiacha itakuja kuzuiwa na hii kete ya blue ya chini huku
 
Nyekundu akicheza nyuma supa inamhusu, ila akigawa ya mbele ni draw tena bila tochi.
 
Hapo sawa mkuu. Kwa move hiyo lazima goli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…