Nikifa MkeWangu Asiolewe
JF-Expert Member
- Feb 26, 2024
- 12,463
- 27,556
Wabobezi wa miamba,Geologist,Geotechnical na wengine wote mnaohusika kwa namna moja ama nyingine kwenye masuala ya miamba karibuni mtupe majawabu ya kina.
Mimi sio mtaalamu wa miamba lakini kwa ufahamu wangu..... Ndio milipuko ya volkeno hubeba madini. Majivu ya volkeno, pamoja na vitu vya kawaida ya milipuko. Kimsingi yanajumuisha vioo vya volkeno ama madini na vipande vya miamba. Madini haya yanaweza kuwa ya magmatic (yaliyoundwa ndani ya magma yenyewe) au yasiyo ya magmatic (kuingizwa kutoka kwa miamba inayozungukaWabobezi wa miamba,Geologist,Geotechnical na wengine wote mnaohusika kwa namna moja ama nyingine kwenye masuala ya miamba karibuni mtupe majawabu ya kina.
View attachment 3401395
Si kweli kuwa milipuko ya volcano huambatana na kubeba madini au vito vya thamani kwa sababu volcano hutokea mahali ambapo miamba ni dhaifu na pana mpasuko! Udhaifu wa miamba hutokea kutokana na msuguano (friction) au msukumano (collision) wa matabaka (plates) ya miamba. Tabaka dhaifu husukumwa juu (uplifted) au hupasuka na kutengeneza ufa (fault) ambao kama utakuwa na kina kirefu kufikia uji uji wa crust uliopo juu kidogo ya mantle basi uji uji huo husukumwa juu na kutoka kama magma na majivu ya crust kutokana na joto kali lililopo huko chini.Wabobezi wa miamba,Geologist,Geotechnical na wengine wote mnaohusika kwa namna moja ama nyingine kwenye masuala ya miamba karibuni mtupe majawabu ya kina.
View attachment 3401395
Aaha, kumbe miamba ni Geography! Mods ujanja wote mmeshindwa kurekebisha!Wabobezi wa miamba,Geologist,Geotechnical na wengine wote mnaohusika kwa namna moja ama nyingine kwenye masuala ya miamba karibuni mtupe majawabu ya kina.
View attachment 3401395
Vijana wengi wanadhani kwa kusoma physical geography basi wahitimu geology pia! Kwa hiyo tunawavumilia with time wataona tofauti!Aaha, kumbe miamba ni Geography! Mods ujanja wote mmeshindwa kurekebisha!
Najua wapi mkuu basi nachoelewa kunauwiano mkubwa kati ya miamba na Geography.Mkuu ni geologist sio
Hakuna uwiano wo wote baina ya geography na miamba!Najua wapi mkuu basi nachoelewa kunauwiano mkubwa kati ya miamba na Geography.
Ahsante sana