Wataalamu wa Protokali mtusaidie "Rais Samia Suluhu kukaa besides ya Rais Joe Biden ina maana gani?"

Wataalamu wa Protokali mtusaidie "Rais Samia Suluhu kukaa besides ya Rais Joe Biden ina maana gani?"

Anayejua maana ya hii arrangement ya COP26 iliyomuweka Rais Samia Suluhu Hassan pembeni ya Rais Joe Biden kiprocol inamaanisha nini?
Nadhani sababu Nchi zinapangwa Alphabetically. Tanzania ktk UN inajulikana kama United Republic of Tanzania, na sio Tanzania. khy utaona United States of America, inafuatana na United Republic of Tanzania (S na T zinafuata alphabetically).
 
Ja
Ni alphabet tu hizo
Yani United Republic of Tanzania then United States of America.hata UN huwa wanakaa hivyo
Japo sina ufahamu mkubwa juu ya mambo hayo, lakini jibu lako lina hoja ndani yake. Asante
 
Wanachotaka mabeberu ni kupigiwa magoti tu. Maza alishajisalimisha mapema sana, sasa ni kuburutwa tu.

Mabeberu yalijipangaga long time kitambo kuiburuta dunia.


JESUS IS LORD OF lords.
 
Back
Top Bottom