Wataalamu wa Protokali mtusaidie "Rais Samia Suluhu kukaa besides ya Rais Joe Biden ina maana gani?"

Wataalamu wa Protokali mtusaidie "Rais Samia Suluhu kukaa besides ya Rais Joe Biden ina maana gani?"

Anayejua maana ya hii arrangement ya COP26 iliyomuweka Rais Samia Suluhu Hassan pembeni ya Rais Joe Biden kiprocol inamaanisha nini?
Kielelezo chako cha picha anaonekana Joe Biden pekee....

Huyo Samia Suluhu a.k.a Chief Hangaya yuko wapi ktk picha hiyo...?
 
Hiyo ni fursa kwa mama kuchomekea mawili matatu kwa beberu namba moja duniani.....aupige mwingi hadi mwenyekiti aombe poo jameni kaeni kimya kikao kinaendelea....
 
Ni alphabet tu hizo
Yani United Republic of Tanzania then United States of America.hata UN huwa wanakaa hivyo
Simple, kuna watu wanatumia muda na nguvu nyingiiii kutafuta majibu yenye uzito wa sisimizi mmoja!
 
K
Anayejua maana ya hii arrangement ya COP26 iliyomuweka Rais Samia Suluhu Hassan pembeni ya Rais Joe Biden kiprocol inamaanisha nini?
View attachment 1995473
We ulitaka nani akae pale?
Kwa hiyo una maanisha raisi wetu hana sifa ya kukaa na baiden?
Je baideni ni mungu hivyo mtu akikaa karibu nae ni bahati?

Acha kujidhalilisha kijana,
Baiden ni raisi wa marekani na Samia ni raisi wa tanzania, tunatofautiana uchumi tu.
 
Ni alphabet tu hizo
Yani United Republic of Tanzania then United States of America.hata UN huwa wanakaa hivyo
Sahihi !... Kosa la wazi ni kuandika Tanzania pekee wakati inapaswa kuwa United Republic of Tanzania. Kwa mkao huo wa alphabet, nchi zilizo karibu yetu ni pamoja na USA,UAE,UK...
 
K

We ulitaka nani akae pale?
Kwa hiyo una maanisha raisi wetu hana sifa ya kukaa na baiden?
Je baideni ni mungu hivyo mtu akikaa karibu nae ni bahati?

Acha kujidhalilisha kijana,
Baiden ni raisi wa marekani na Samia ni raisi wa tanzania, tunatofautiana uchumi tu.
Kama tofauti ni uchumi tu kwa nini yule rais wa Marekani aliyepita aliziita nchi zetu "sh!thole countries"?
 
NimNimefanya fanya uchambuzi wa maoni ya yetu huju juu ya mada hii nikagundua kumbe tuko watu wa aina tatu humu kama ifuatavyo kwa namna tufikirivyo na kisha kukiaandika au kusema kwenye public...
i rais aliyeheshimiwa sana
Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app

Wanachotaka mabeberu ni kupigiwa magoti tu. Maza alishajisalimisha mapema sana, sasa ni kuburutwa tu.

Mabeberu yalijipangaga long time kitambo kuiburuta dunia.

JESUS IS LORD OF lords.
Kwani ninyi Chaggadomo mnasaemaje 🤣
Tusubiri sisiemu waje wasema tuna upiga mwingi

Sent from my Infinix X683 using JamiiForums mobile app
Ni rais aliyeheshimiwa sana

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
Tanzania tuko vizuri mkuu

Hao hapo ☝️☝️👆👆wote hawasumbui akili zao kabisa kufikiri kwa kujiuliza maswali ya msingi ya "WH" mfano; WHY? HOW? nk nk kwa kila wasimacho au kukisikia au kukiona...
Alphabetical Order, United States of ......
United Republic of ......
Kwenye umoja wa mataifa wanapanga kwa kuzingatia alphabetical orders. Kwa mantiki hiyo US na URT lazima wakae pamoja
Hata ukiangalia kwenye picha bendera zilizoko nje ya jengo la UN bendera ya Tanzania na USA zinafuatana.
Nadhani sababu Nchi zinapangwa Alphabetically. Tanzania ktk UN inajulikana kama United Republic of Tanzania, na sio Tanzania. khy utaona United States of America, inafuatana na United Republic of Tanzania (S na T zinafuata alphabetically).

Hawa 👆 👆 👆 jamaa zangu wako vizuri, walifikiri vizuri kabla ya kusema/kuandika...!!
Inamaanisha Tanzania ni donner country

Shukrani za pekee zimwendee Prof Mark Mwandosya mzee wa Kyoto!
Huku mtaani mikutano ya kijiji ata ukikaa juu ya muembe mwenyekiti chini anaongea sawa tu😂
Au Tanzania ni ya pili kwa utajiri baada ya US.

Mleta mada fuatilia zaidi, huenda Samia akiwa mkutanoni alienda chooni baada ya Biden ili utuletee tujadili maana yake.
Walimuweka makusudi ili Biden asisinzie!!!
Hawa jamaa zangu 👆 👆 👆 😳 😳 😛 😛 😀 😀 they don't take things serious. They are Jokers all the time

##KUMBUKA; JF ni inaelemisha, inaburudisha na kufunua mawazo na akili za watu bila kujali kuwa members wa JF hutumia "unanimous names..!"
 
Nadhani sababu Nchi zinapangwa Alphabetically. Tanzania ktk UN inajulikana kama United Republic of Tanzania, na sio Tanzania. khy utaona United States of America, inafuatana na United Republic of Tanzania (S na T zinafuata alphabetically).
Mkuu sio kwasababu S na T zinafuatana alphabetically bali ni kwasabu zote zinaanza na "UNITED"
 
Back
Top Bottom