Jabali la Siasa
JF-Expert Member
- Jul 10, 2020
- 2,823
- 2,466
Dona kantre pekee duniani inayoomba msaada wa kujengewa vyoo (kwa msaada wa watu wa marekani).Inamaanisha Tanzania ni donner country
Shukrani za pekee zimwendee Prof Mark Mwandosya mzee wa Kyoto!
Au Tanzania ni ya pili kwa utajiri baada ya US.Inamaanisha Tanzania ni donner country
Shukrani za pekee zimwendee Prof Mark Mwandosya mzee wa Kyoto!
KumbeAnayejua maana ya hii arrangement ya COP26 iliyomuweka Rais Samia Suluhu Hassan pembeni ya Rais Joe Biden kiprocol inamaanisha nini?
Nadhani sababu Nchi zinapangwa Alphabetically. Tanzania ktk UN inajulikana kama United Republic of Tanzania, na sio Tanzania. khy utaona United States of America, inafuatana na United Republic of Tanzania (S na T zinafuata alphabetically).Anayejua maana ya hii arrangement ya COP26 iliyomuweka Rais Samia Suluhu Hassan pembeni ya Rais Joe Biden kiprocol inamaanisha nini?
Ni rais aliyeheshimiwa sanaAnayejua maana ya hii arrangement ya COP26 iliyomuweka Rais Samia Suluhu Hassan pembeni ya Rais Joe Biden kiprocol inamaanisha nini?
Tusubiri sisiemu waje wasema tuna upiga mwingiAnayejua maana ya hii arrangement ya COP26 iliyomuweka Rais Samia Suluhu Hassan pembeni ya Rais Joe Biden kiprocol inamaanisha nini?
Kwani ninyi Chaggadomo mnasaemaje 🤣Tusubiri sisiemu waje wasema tuna upiga mwingi
Sent from my Infinix X683 using JamiiForums mobile app
Japo sina ufahamu mkubwa juu ya mambo hayo, lakini jibu lako lina hoja ndani yake. AsanteNi alphabet tu hizo
Yani United Republic of Tanzania then United States of America.hata UN huwa wanakaa hivyo
Alphabetical Order, United States of ......Anayejua maana ya hii arrangement ya COP26 iliyomuweka Rais Samia Suluhu Hassan pembeni ya Rais Joe Biden kiprocol inamaanisha nini?