The Palm Tree
JF-Expert Member
- Apr 13, 2013
- 7,951
- 12,541
Kielelezo chako cha picha anaonekana Joe Biden pekee....Anayejua maana ya hii arrangement ya COP26 iliyomuweka Rais Samia Suluhu Hassan pembeni ya Rais Joe Biden kiprocol inamaanisha nini?
Mzee anasinzia hadi sio pouwaWalimuweka makusudi ili Biden asisinzie!!!
Hahahaaaaa dona kantri bwana!Inamaanisha Tanzania ni donner country
Shukrani za pekee zimwendee Prof Mark Mwandosya mzee wa Kyoto!
CHADEMA watapingaInamaanisha Tanzania ni donner country
Shukrani za pekee zimwendee Prof Mark Mwandosya mzee wa Kyoto!
Ukifungua hako ka clip yupo hapo pembeni....Kielelezo chako cha picha anaonekana Joe Biden pekee....
Huyo Samia Suluhu a.k.a Chief Hangaya yuko wapi ktk picha hiyo...?
Ulilolihoji hapa lina manufaa gani kwa Maendeleo ya Watanzania na Ustawi wake Kiujumla?Anayejua maana ya hii arrangement ya COP26 iliyomuweka Rais Samia Suluhu Hassan pembeni ya Rais Joe Biden kiprocol inamaanisha nini?
View attachment 1995473
Simple, kuna watu wanatumia muda na nguvu nyingiiii kutafuta majibu yenye uzito wa sisimizi mmoja!Ni alphabet tu hizo
Yani United Republic of Tanzania then United States of America.hata UN huwa wanakaa hivyo
We ulitaka nani akae pale?Anayejua maana ya hii arrangement ya COP26 iliyomuweka Rais Samia Suluhu Hassan pembeni ya Rais Joe Biden kiprocol inamaanisha nini?
View attachment 1995473
Sahihi !... Kosa la wazi ni kuandika Tanzania pekee wakati inapaswa kuwa United Republic of Tanzania. Kwa mkao huo wa alphabet, nchi zilizo karibu yetu ni pamoja na USA,UAE,UK...Ni alphabet tu hizo
Yani United Republic of Tanzania then United States of America.hata UN huwa wanakaa hivyo
Kama tofauti ni uchumi tu kwa nini yule rais wa Marekani aliyepita aliziita nchi zetu "sh!thole countries"?K
We ulitaka nani akae pale?
Kwa hiyo una maanisha raisi wetu hana sifa ya kukaa na baiden?
Je baideni ni mungu hivyo mtu akikaa karibu nae ni bahati?
Acha kujidhalilisha kijana,
Baiden ni raisi wa marekani na Samia ni raisi wa tanzania, tunatofautiana uchumi tu.
Inamaanisha Tanzania ni donner country
Shukrani za pekee zimwendee Prof Mark Mwandosya mzee wa Kyoto!
Rais Samia ndio Rais bora toka Bara la Africa na Biden ni Rais bora toka America,Anayejua maana ya hii arrangement ya COP26 iliyomuweka Rais Samia Suluhu Hassan pembeni ya Rais Joe Biden kiprocol inamaanisha nini?
View attachment 1995473
Tofauti kabisa hahahaAlphabetical Order, United States of ......
United Republic of ......
Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
Wanachotaka mabeberu ni kupigiwa magoti tu. Maza alishajisalimisha mapema sana, sasa ni kuburutwa tu.
Mabeberu yalijipangaga long time kitambo kuiburuta dunia.
JESUS IS LORD OF lords.
Kwani ninyi Chaggadomo mnasaemaje π€£
Tusubiri sisiemu waje wasema tuna upiga mwingi
Sent from my Infinix X683 using JamiiForums mobile app
Tanzania tuko vizuri mkuu
Alphabetical Order, United States of ......
United Republic of ......
Kwenye umoja wa mataifa wanapanga kwa kuzingatia alphabetical orders. Kwa mantiki hiyo US na URT lazima wakae pamoja
Hata ukiangalia kwenye picha bendera zilizoko nje ya jengo la UN bendera ya Tanzania na USA zinafuatana.
Nadhani sababu Nchi zinapangwa Alphabetically. Tanzania ktk UN inajulikana kama United Republic of Tanzania, na sio Tanzania. khy utaona United States of America, inafuatana na United Republic of Tanzania (S na T zinafuata alphabetically).
Nadhani sababu Nchi zinapangwa Alphabetically. Tanzania ktk UN inajulikana kama United Republic of Tanzania, na sio Tanzania. khy utaona United States of America, inafuatana na United Republic of Tanzania (S na T zinafuata alphabetically).
Inamaanisha Tanzania ni donner country
Shukrani za pekee zimwendee Prof Mark Mwandosya mzee wa Kyoto!
Huku mtaani mikutano ya kijiji ata ukikaa juu ya muembe mwenyekiti chini anaongea sawa tuπ
Au Tanzania ni ya pili kwa utajiri baada ya US.
Mleta mada fuatilia zaidi, huenda Samia akiwa mkutanoni alienda chooni baada ya Biden ili utuletee tujadili maana yake.
Hawa jamaa zangu π π π π³ π³ π π π π they don't take things serious. They are Jokers all the timeWalimuweka makusudi ili Biden asisinzie!!!
Mkuu sio kwasababu S na T zinafuatana alphabetically bali ni kwasabu zote zinaanza na "UNITED"Nadhani sababu Nchi zinapangwa Alphabetically. Tanzania ktk UN inajulikana kama United Republic of Tanzania, na sio Tanzania. khy utaona United States of America, inafuatana na United Republic of Tanzania (S na T zinafuata alphabetically).