The Assassin
JF-Expert Member
- Oct 30, 2018
- 4,942
- 20,077
Acha kubuni, kama hujui kaa kimyaSijawai zitumia zote. Ila i bet one plus is the best
Au mnasemaje mods
Hiyo oppo find x2 pro bei yake unapata passoUsinunue flagship ya kichina kwa bei sawa na Samsung ama top end nyengine kama Sony na Lg, hazina value hio ya Hela. Si kweli kwamba zina offer mambo yote sawa sana sana wanaweka mambo ya juu juu sawa ila ukiingia deep haina mambo yote.
Na baina ya oneplus 8 pro na find x2, ni simu ambazo zinakaribiana ila one plus
-bei rahisi zaidi
-battery kubwa zaidi
-ina wireless charging
-cleaner software
-support ya uhakika muda mrefu.
Ningekuwa mimi ningechukua oneplus na kusave hela zaidi, ama kama hutaki mbwembwe oneplus 8 plain ni nzuri zaidi.
Ahsante mkuu.Usinunue flagship ya kichina kwa bei sawa na Samsung ama top end nyengine kama Sony na Lg, hazina value hio ya Hela. Si kweli kwamba zina offer mambo yote sawa sana sana wanaweka mambo ya juu juu sawa ila ukiingia deep haina mambo yote.
Na baina ya oneplus 8 pro na find x2, ni simu ambazo zinakaribiana ila one plus
-bei rahisi zaidi
-battery kubwa zaidi
-ina wireless charging
-cleaner software
-support ya uhakika muda mrefu.
Ningekuwa mimi ningechukua oneplus na kusave hela zaidi, ama kama hutaki mbwembwe oneplus 8 plain ni nzuri zaidi.
Kwenye update inaonekana kuna shida kwa oppo, kuna mtu kaniambia oppo find x ya mwaka jana haijapata updates za android 10 hadi sasa.Hizo simu hazitofautiani sana...
Lakin overall oppo find x 2 pro ni jiwe hapo
Imekaa poa sehem nying kama fast charging, protection yake, cameras, design, speakers, haya maeneo imepiga bao vizur...
One plus sio mbaya nayo,, oxygen os wanaipa sana update na ina some features nzuri..ila kweny oppo hyo basi onpleus itakaa kushoto kdogo...mim ningechukua find x hiyo..kwanza napenda ile animation charging yake na ukizingatia inachag 100% in 38 min as advitised
Lakin hata optimization nzur , endurance rating nzur kuzid oneplus yenye battery kubwa kidogo..
X2 pro ni zaidi ya dola 1000 mkuu na masoko ya Dunia inakwenda mpaka dola 1300 na 8 pro imekuwa released kama 899 na unaipata hadi chini ya dola 800, hivyo upo utofauti wa angalau dola 200 ama zaidi kwenye bei.Ahsante mkuu.
Ila mbona bei zake hazitofautiani sana?
Natamani ku-test the difference kwenye hizi simu za kichina.
Mimi ni mpenzi wa hizi display za Samsung za curved na amoled au oled screen.
Sasa hizi brand za kichina zina-offer the same screen design and displays. Na pia zinatoa premium specifications kwa bei ya chini ya hizi za Samsung au Apple.
Naomba watalamu mnisadiei ipi ya kununua kati ya One Plus 8 pro na Oppo Find X2 Pro. Je ipi ina inatoa updates za os kwa wakati?
Ahsante.
Hizo simu hazitofautiani sana...
Lakin overall oppo find x 2 pro ni jiwe hapo
Imekaa poa sehem nying kama fast charging, protection yake, cameras, design, speakers, haya maeneo imepiga bao vizur...
One plus sio mbaya nayo,, oxygen os wanaipa sana update na ina some features nzuri..ila kweny oppo hyo basi onpleus itakaa kushoto kdogo...mim ningechukua find x hiyo..kwanza napenda ile animation charging yake na ukizingatia inachag 100% in 38 min as advitised
Lakin hata optimization nzur , endurance rating nzur kuzid oneplus yenye battery kubwa kidogo..
Ahsante sana mkuu.X2 pro ni zaidi ya dola 1000 mkuu na masoko ya Dunia inakwenda mpaka dola 1300 na 8 pro imekuwa released kama 899 na unaipata hadi chini ya dola 800, hivyo upo utofauti wa angalau dola 200 ama zaidi kwenye bei.
Ahsante mkuu.Kwenye suala la OS hakuna inayoizidi oneplus (oxygen OS) kwenye android. Ni light na ina customisations zenye maana sio suala la wingi wa customisations tu. Kwenye Camera na fast charging OPPO hataizidi cha maana Oneplus ila overall kwangu ningechukua oneplus 8 pro. Design ni personal preference. Updates utapata haraka kuliko simu nyingine yotote ya android labda (ukiacha zenye pure android). Nadhani aangakie na comparisons youtube itamsaidia kuchagua pia
Ila nimeangalia review nyingi oneplus 8 juwa sio nzuri
Kweny fastcharging oppo imeizid sana one plusKwenye suala la OS hakuna inayoizidi oneplus (oxygen OS) kwenye android. Ni light na ina customisations zenye maana sio suala la wingi wa customisations tu. Kwenye Camera na fast charging OPPO hataizidi cha maana Oneplus ila overall kwangu ningechukua oneplus 8 pro. Design ni personal preference. Updates utapata haraka kuliko simu nyingine yotote ya android labda (ukiacha zenye pure android). Nadhani aangakie na comparisons youtube itamsaidia kuchagua pia
bei gani na wapi mkuu?Hizi simu zinafanana almost 80% ya specs.
One Plus ni cheap kuliko Oppo.
Binafsi napendelea Oxygen Os zaidi.
Kweny fastcharging oppo imeizid sana one plus
Oppo ni 65W, 100% in 38 min
One plus ni 30W, 50% in 30 min
Lakin hata camera reviews oppo imefanya poa sana...one plus 8 imepata diss compared na 7
Kama jamaa anapenda sana update ndio akatulie kweny one plus..so far zote ni simu makin tu..kaz kwake
Sent using Jamii Forums mobile app