Wataalamu wa simu ipi kali kati ya One Plus 8 Pro na Oppo Find X2 Pro

The Assassin

JF-Expert Member
Joined
Oct 30, 2018
Posts
4,942
Reaction score
20,077
Natamani ku-test the difference kwenye hizi simu za kichina.

Mimi ni mpenzi wa hizi display za Samsung za curved na amoled au oled screen.

Sasa hizi brand za kichina zina-offer the same screen design and displays. Na pia zinatoa premium specifications kwa bei ya chini ya hizi za Samsung au Apple.

Naomba watalamu mnisadiei ipi ya kununua kati ya One Plus 8 pro na Oppo Find X2 Pro. Je ipi ina inatoa updates za os kwa wakati?

Ahsante.
 
Hizo simu hazitofautiani sana...

Lakin overall oppo find x 2 pro ni jiwe hapo

Imekaa poa sehem nying kama fast charging, protection yake, cameras, design, speakers, haya maeneo imepiga bao vizur...

One plus sio mbaya nayo,, oxygen os wanaipa sana update na ina some features nzuri..ila kweny oppo hyo basi onpleus itakaa kushoto kdogo...mim ningechukua find x hiyo..kwanza napenda ile animation charging yake na ukizingatia inachag 100% in 38 min as advitised

Lakin hata optimization nzur , endurance rating nzur kuzid oneplus yenye battery kubwa kidogo..
 
Ila nimeangalia review nyingi oneplus 8 juwa sio nzuri
 
Usinunue flagship ya kichina kwa bei sawa na Samsung ama top end nyengine kama Sony na Lg, hazina value hio ya Hela. Si kweli kwamba zina offer mambo yote sawa sana sana wanaweka mambo ya juu juu sawa ila ukiingia deep haina mambo yote.

Na baina ya oneplus 8 pro na find x2, ni simu ambazo zinakaribiana ila one plus
-bei rahisi zaidi
-battery kubwa zaidi
-ina wireless charging
-cleaner software
-support ya uhakika muda mrefu.

Ningekuwa mimi ningechukua oneplus na kusave hela zaidi, ama kama hutaki mbwembwe oneplus 8 plain ni nzuri zaidi.
 
Hiyo oppo find x2 pro bei yake unapata passo
 
Ahsante mkuu.

Ila mbona bei zake hazitofautiani sana?
 
Hizo simu hazitofautiani sana...

Lakin overall oppo find x 2 pro ni jiwe hapo

Imekaa poa sehem nying kama fast charging, protection yake, cameras, design, speakers, haya maeneo imepiga bao vizur...

One plus sio mbaya nayo,, oxygen os wanaipa sana update na ina some features nzuri..ila kweny oppo hyo basi onpleus itakaa kushoto kdogo...mim ningechukua find x hiyo..kwanza napenda ile animation charging yake na ukizingatia inachag 100% in 38 min as advitised

Lakin hata optimization nzur , endurance rating nzur kuzid oneplus yenye battery kubwa kidogo..
Kwenye update inaonekana kuna shida kwa oppo, kuna mtu kaniambia oppo find x ya mwaka jana haijapata updates za android 10 hadi sasa.

Hio imekaaje?
 
Natamani ku-test the difference kwenye hizi simu za kichina.

Mimi ni mpenzi wa hizi display za Samsung za curved na amoled au oled screen.

Sasa hizi brand za kichina zina-offer the same screen design and displays. Na pia zinatoa premium specifications kwa bei ya chini ya hizi za Samsung au Apple.

Naomba watalamu mnisadiei ipi ya kununua kati ya One Plus 8 pro na Oppo Find X2 Pro. Je ipi ina inatoa updates za os kwa wakati?

Ahsante.

One plus 8 pro kwangu kwa sababu ya Oxygen OS. Utapata updates haraka sana pia na ni very reliable software. Camera hazitofautiani sana quality. Ibaki suala la design tu unayopenda
 
Hizo simu hazitofautiani sana...

Lakin overall oppo find x 2 pro ni jiwe hapo

Imekaa poa sehem nying kama fast charging, protection yake, cameras, design, speakers, haya maeneo imepiga bao vizur...

One plus sio mbaya nayo,, oxygen os wanaipa sana update na ina some features nzuri..ila kweny oppo hyo basi onpleus itakaa kushoto kdogo...mim ningechukua find x hiyo..kwanza napenda ile animation charging yake na ukizingatia inachag 100% in 38 min as advitised

Lakin hata optimization nzur , endurance rating nzur kuzid oneplus yenye battery kubwa kidogo..

Kwenye suala la OS hakuna inayoizidi oneplus (oxygen OS) kwenye android. Ni light na ina customisations zenye maana sio suala la wingi wa customisations tu. Kwenye Camera na fast charging OPPO hataizidi cha maana Oneplus ila overall kwangu ningechukua oneplus 8 pro. Design ni personal preference. Updates utapata haraka kuliko simu nyingine yotote ya android labda (ukiacha zenye pure android). Nadhani aangakie na comparisons youtube itamsaidia kuchagua pia
 
X2 pro ni zaidi ya dola 1000 mkuu na masoko ya Dunia inakwenda mpaka dola 1300 na 8 pro imekuwa released kama 899 na unaipata hadi chini ya dola 800, hivyo upo utofauti wa angalau dola 200 ama zaidi kwenye bei.
Ahsante sana mkuu.

Ni kweli nimeangalia bei zake oppo iko juu sana.
 
Kwenye suala la OS hakuna inayoizidi oneplus (oxygen OS) kwenye android. Ni light na ina customisations zenye maana sio suala la wingi wa customisations tu. Kwenye Camera na fast charging OPPO hataizidi cha maana Oneplus ila overall kwangu ningechukua oneplus 8 pro. Design ni personal preference. Updates utapata haraka kuliko simu nyingine yotote ya android labda (ukiacha zenye pure android). Nadhani aangakie na comparisons youtube itamsaidia kuchagua pia
Ahsante mkuu.
 
Kwenye suala la OS hakuna inayoizidi oneplus (oxygen OS) kwenye android. Ni light na ina customisations zenye maana sio suala la wingi wa customisations tu. Kwenye Camera na fast charging OPPO hataizidi cha maana Oneplus ila overall kwangu ningechukua oneplus 8 pro. Design ni personal preference. Updates utapata haraka kuliko simu nyingine yotote ya android labda (ukiacha zenye pure android). Nadhani aangakie na comparisons youtube itamsaidia kuchagua pia
Kweny fastcharging oppo imeizid sana one plus

Oppo ni 65W, 100% in 38 min

One plus ni 30W, 50% in 30 min

Lakin hata camera reviews oppo imefanya poa sana...one plus 8 imepata diss compared na 7

Kama jamaa anapenda sana update ndio akatulie kweny one plus..so far zote ni simu makin tu..kaz kwake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwenye camera labda uwe unaongelea one plus 8 ya kawaida sio Pro. Oneplus 8 pro camera imeizidi mbali sana OP 7. Hebu anagalia vizuri hizo reviews usichanganye za oneplus 8 na oneplus 8 pro
 
Back
Top Bottom