StudentTeacher
JF-Expert Member
- Jan 30, 2019
- 7,043
- 8,478
Naona nabii feki na mtume feki unachipukia....sadaka ni tamu sana😁Nahitaji Speaker na Mic mbili zile zinazotumika sana kuhubiria Injili barabarani(mitaani).
Naomba mnishauri ni aina(brand) ipi ina ubora wa sauti, portable na sifa nyingine muhimu za ziada.
Natanguliza shukrani 🙏
Mkuu unawezaje kufurahia kumkejeli mtu usiyemjua?Naona nabii feki na mtume feki unachievable....sadaka ni taku sana😁
Kwa hiyo ulitaka ninuneMkuu unawezaje kufurahia kumkejeli mtu usiyemjua?
Mistake!Kwa hiyo ulitaka ninune
SawaNgoja waje mkuu
Sadaka haijawahi kuwa chungu na ukipatia njia ya kuila asee umetoboa maishaNaona nabii feki na mtume feki unachipukia....sadaka ni tamu sana😁
Mkuu humu ndani Kuna mazombie ya shetani yatakuvania Bora uzunguke uulize vwenzioNahitaji Speaker na Mic mbili zile zinazotumika sana kuhubiria Injili barabarani(mitaani).
Naomba mnishauri ni aina(brand) ipi ina ubora wa sauti, portable na sifa nyingine muhimu za ziada.
Natanguliza shukrani 🙏
Umejuaje ni tamu na wewe ni nabii fake nini? zingekuwab tamu ungekuwa unabetia kweli?Naona nabii feki na mtume feki unachipukia....sadaka ni tamu sana😁