Wataalamu wa uchumi na siasa nisaidieni kujibu haya maswali

Wataalamu wa uchumi na siasa nisaidieni kujibu haya maswali

azithromycim

JF-Expert Member
Joined
Apr 18, 2019
Posts
580
Reaction score
1,297
Wataalamu wa uchumi na siasa nisaidieni kujibu haya maswali.

1. Hivi kweli chama tawala kinautajiri wakuwanunulia makatibu na madiwani wote kata nchi nzima pikipiki.
Baiskeli kwa mabalozi au wajumbe wanyumba kumi wote nchini.

2. Hivi kunakampeni imetumia gharama kubwa toka uchaguzi wa vyama vingi ulipoanza mwaka 1995.

3. Hivi Rais Samia akishinda uchaguzi atakuwa amechaguliwa na wanaccm wenzake au na wananchi?.

4. Hivi Rais hajui kuwa Washauri wake wanamhujumu hajui kuwa wanamshauri kwa masrahi yao binafsi.
MO 29.
 
 
Back
Top Bottom