Wataalamu wa Urusi wagundua kifaa kinachomuwezesha kipofu kuona

Suley2019

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2019
Posts
2,203
Reaction score
5,610
Wataalam wa Urusi latika maabara ya Sensor-Tekh wamefanikiwa katika majaribio ya kifaa ambacho kinawezesha vipofu kuweza kuona. Kifaa hicho kilichopewa jina la ELVIS (ELectronic VISion) Kitawezesha itawezesha vipofu kuona kwa kuvaa headband maalum yenye kamera.

Kifaa hicho kilichopewa jina la ELVIS (ELectronic VISion) Kitawezesha itawezesha vipofu kuona kwa kuvaa headband maalum yenye kamera.

1625850904467.png
 
Kiukweli kama jamii ya kitanzania tunatakiwa tujitafakari sana, elimu tunayopata haina tija tena au haiendani kabisa na kasi na maendeleo ya nchi yetu.

Fikiria dunia inakwenda katika mapinduzi ya nne ya viwanda (M4V), lakini nchi yangu mama Tanzania bado hata awamu ya tatu ni changamoto.

Ugunduzi wa kifaa cha kuona inabidi ututie chachu wataalamu wote na tufumbue macho tujiangalie tulipo na wenzetu walipo sasa.
 
Wataalam wa Urusi latika maabara ya Sensor-Tekh wamefanikiwa katika majaribio ya kifaa ambacho kinawezesha vipofu kuweza kuona. Kifaa hicho kilichopewa jina la ELVIS (ELectronic VISion) Kitawezesha itawezesha vipofu kuona kwa kuvaa headband maalum yenye kamera.

Kifaa hicho kilichopewa jina la ELVIS (ELectronic VISion) Kitawezesha itawezesha vipofu kuona kwa kuvaa headband maalum yenye kamera.

We jamaa sisi hatuitwi vipofu ni wasioona sawa. Halaf lete chanzo cha hii habari. Halaf hii tec inamiaka mingi tu huko ulaya na marekani. Bongo ilijaribiwa ila haijaleta matokeo mazuri
 
Wataalam wa Urusi latika maabara ya Sensor-Tekh wamefanikiwa katika majaribio ya kifaa ambacho kinawezesha vipofu kuweza kuona. Kifaa hicho kilichopewa jina la ELVIS (ELectronic VISion) Kitawezesha itawezesha vipofu kuona kwa kuvaa headband maalum yenye kamera.

Kifaa hicho kilichopewa jina la ELVIS (ELectronic VISion) Kitawezesha itawezesha vipofu kuona kwa kuvaa headband maalum yenye kamera.

... kwa kirusi (Russian) hicho kifaa kinaitwaje?
 
Nilipokuwa namaliza chuo nilipata wazo la Blind concsiousness enhanced Robot but nikawaza,
Je vipofu wataweza kulipia gharama ya utafiti?
Je kuna kampuni ingeweza kufadhili utafiti ambao haulipi?
Je serikali na makampuni ya simu yapo tayari kusuport system iingwe kwenye mifumo yao.
Nikaona ni jambo kubwa sana, nikalitupa wazo uvunguni mpaka leo mwaka wa sita sija angalia ile michoro na theory zake.

Hilo wazo nililipata baada ya kumuona kipofu mmoja akipata shida pale chuo, warusi wamekwenda hatua mbele zaidi ya mimi nilivyowaza, science can do anything.
 
Back
Top Bottom