Wataalamu wa Urusi wagundua kifaa kinachomuwezesha kipofu kuona

Wataalamu wa Urusi wagundua kifaa kinachomuwezesha kipofu kuona

Nilipokuwa namaliza chuo nilipata wazo la Blind concsiousness enhanced Robot but nikawaza,
Je vipofu wataweza kulipia gharama ya utafiti?
Je kuna kampuni ingeweza kufadhili utafiti ambao haulipi?
Je serikali na makampuni ya simu yapo tayari kusuport system iingwe kwenye mifumo yao.
Nikaona ni jambo kubwa sana, nikalitupa wazo uvunguni mpaka leo mwaka wa sita sija angalia ile michoro na theory zake.

Hilo wazo nililipata baada ya kumuona kipofu mmoja akipata shida pale chuo, warusi wamekwenda hatua mbele zaidi ya mimi nilivyowaza, science can do anything.
Tumia neno asiyeona. Kipofu sio neno sahihi. Halaf mkuu naomba unieleze hili wazo lako kwa lugha rahisii kyna kitu ntakushauri.
 
Tumia neno asiyeona. Kipofu sio neno sahihi. Halaf mkuu naomba unieleze hili wazo lako kwa lugha rahisii kyna kitu ntakushauri.
Mkuu nikianza kufafanua ntafungua code ya wazo japo sina uwezo wa kuliendekeza, sasa hivi nina mawazo mapya kabisa.
kifupi ni kumuongezea kipofu ufahamu.
Kipofu ndio neno halisi la kiswahili, asieona ni ufafanuzi, unafiki wa matamshi huwa sipendi na wala sioni kuwa ni tusi. I was trained as scientist huwa hakuna kupaka rangi maneno kwenye sayansi.
Kama wewe ulisoma kiswahili endelea na uswahili wa kupotosha naneno sahihi. Acha tabia ya kipelekeshwa na wanasiasa uchwara wanaopaka maneno mafuta.
Sayansi ibatufundisha kwsmba mtu asieona na mtu kipofu ni watu wswkli tofauti , mimi nazungumzia mtu kipofu.
 
Mbona kama vile wamemkopy bwana Elon Musk kwenye neuralink
Fungua hiyo site unaweza kupata maelezo ya kina.. Kufanana kwake na kutofautiana kwake.. Kipi wameongeza tofauti na wengine.
Screenshot_20210712-202404.jpg
 
Mkuu nikianza kufafanua ntafungua code ya wazo japo sina uwezo wa kuliendekeza, sasa hivi nina mawazo mapya kabisa.
kifupi ni kumuongezea kipofu ufahamu.
Kipofu ndio neno halisi la kiswahili, asieona ni ufafanuzi, unafiki wa matamshi huwa sipendi na wala sioni kuwa ni tusi. I was trained as scientist huwa hakuna kupaka rangi maneno kwenye sayansi.
Kama wewe ulisoma kiswahili endelea na uswahili wa kupotosha naneno sahihi. Acha tabia ya kipelekeshwa na wanasiasa uchwara wanaopaka maneno mafuta.
Sayansi ibatufundisha kwsmba mtu asieona na mtu kipofu ni watu wswkli tofauti , mimi nazungumzia mtu kipofu.
Naona haujanielewa. Mimi naekuandikia hapa sioni. Sasa nashangaa unanianbia nachanganywa na wanasiasa uchwara wakati ndilo neno sahihi. Neno kipofu linamdhalilish?a mtu asiyeona.
Pili ufahamu gani ulipanga kumuongeZea mtu asiyeona?
Tatu unaufahamu gani juuu ya accesibility technology.
 
Dawa ya ukimwi hado hawajagundua.???

pale kati patamu...
Watanzania bado tunasafari ndefu, kwanza tukishajua Ukimwi sio ugonjwa ndo tunaweza kujikwamua.

Kwa akili yako wewe Upungufu wa Kinga Mwilini ni Ugonjwa? Unatafutaje dawa ya kitu ambacho sio ugonjwa?

Nani alikwambia tatizo hilo linasababishwa na pale kati?

Unavyoambiwa wazee wetu ambao COVID-19 inawasumbua sana sababu kinga yao ya mwili mara nyingi imekua compromised huwa unaelewa nini?.

Rudi kwenye vitabu kajifunzi maana ya UKIMWI, VVU, KIFUA KIKUU, KISUKARI, LISHE ISIYO BORA, SARATANI, HOMA YA INI, NK.

Halafu fuatilia ni namna gani vitu hivyi vinaweza kuathiri kinga ya mwili. Ukishamaliza tuanzie hapo sasa mjadala wetu
 
Hivi siye Tanzania tuna wanasayansi kweli, sijawahi kusikia cha maana walichokigundua au kukifanya.
 
Back
Top Bottom