Swali jipya linaibuka; which will be our own way apart from the ways of Chinese and Europeans??!!.
The answer which I kept on waiting in vain from you is simply; we Africans are (in general) genetically different from Chinese, Japanese, Indians, European to name just a few, by genetic I mean genetic traits, attitudes etc in general which characterise who we/they are resulting into disparities in our day to day activities.
Njia ya waasia na wazungu ni tofauti na njia njia zetu na hivyo hatuwezi kuwa sawa katika utendaji wa mambo yetu, Sisi ni ngoma, sanaa na michezo, mambo kama hayo tu na sio Sayansi na elimu za nature. Nasema sisi kwa ujumla wetu.
Unawashinda sanaa na michezo wazungu ? Labda ngoma.
Argument zako ni assumption or fact ?
Kama fact hizo trait difference zilianza lini? Kwa mfano maana hizo gunduzi zimeanza miaka 500 tu iliopita lakini dunia ina maelfu ya miaka nahizo gunduzi wala mzungu hakuwa nazo,je hixo trait zimeibika from no where?
Jibu ni kwamba hapa kwetu smart people hawajawahi kuwepo au kuwa huru kwenye mifumo ya kuleta mapinduzi nchini Tanzania.
Siku tukiacha mifumo ifanye kazi kama western people au eastern bila kuwa na tuvikundi kama twa ccm,chadema sijui cuf tutapata watu sahihi wa kuleta mapinduzi tunayoyaota.
Tunaowapigia makofi hamna kitu wapo left and right kwenye normal distributed group(normal curve).
Wachina wana chujio la hatari kupata viongozi .
Wachina wanajua nani atawaongoza baada ya Zi jin pin sisi Magu, Samia wote wamepatikana kwa bahati mbaya.
Tunatakiwa tufanye uamsho kama walivyofanya ulaya.
Normal distribution curve is all about people not race.
Gifted people are very few in everyrace.
Wenzetu hawafanyi mchezo kwenye suala la kuwabaini na kwaendeleza gifted.
Gifted people ndio wanaoleta mapinduzi duniani katika kila nyanja.
Sasa wewe una watu wanaopigiwa kura bila kujali vigezo vya intelligence halafu utarajie mapinduzi ya ghafla ya kiteknolojia na uchumi, haijawahi tokea dunia nzima, itaanzia kwetu labda.
Kwa kifupi tunaongozwa na vilaza ukilinganisha na hao wenzetu ila si kwamba hawapo geneus bali hawapewi nafasi wa excel .
Rejea teuzi za uongozi zinavyofanyika, hamna ushindani wa weledi bali matakwa na historia ya kuwepo kwenye kundi au umaarufu au kufahamiana.
Sijawahi soma kitabu chochote kinachoeleza eti umaarufu ndio kigezo cha uongozi.
Trump aliingia madarakani kwa vigezo vya umaarufu na intelligence lakini akakosa kigezo cha wisdom, kapigwa nje na wamarekani.
Sisi huku jitu bogus linaweza tawala miaka hata 40 na wala hatuna shida kisa yupo ktk group.