Mimi sijasema kwamba tunawazidi Wazungu kwa michezo, ninachosema ni kwamba sisi waafrika weusi ni talented katika michezo na sio katika Mambo ya Sayansi (Math, Physics, Chemistry, Medicine nk), kama kungalikuwa na Zawadi ya Nobel katika michezo basi watu wengi weusi wangalipata hiyo zawadi jinsi leo Waisraeli wengi walivyopata Nobel prizes.
Hakuna historia ya mtu mweusi aliyegundua hata theorem katika maths, physics nk, ukilinganisha na watu weupe, sisi watu weusi tunapoona jambo huwa hutujiulizi; Why, what and why??, na wala hatuna muda wa kutafiti mambo ya nature yanayotuzunguka jinsi watu wengine walivyokuwa na wanavyofanya, matatizo na shida nyingi tunazo lakini badala ya shida hizo kuwa chachu ya kutufanya tutumie akili zetu kuyatanzua na hivyo kukuza uwezo wa akili zetu katika kutanzua hizo shida mbalimbali tunamsubiri mzungu aje atusaidie (chukua mfano wa chanjo ya corona).
Tatizo au msingi wa hiyo kadhia yote inaanza na utashi, hamu, msukumo binafsi wa mtu mmoja mmoja ambapo kwa wazungu na waasia kitu hicho kimo damuni kwa wengi wao kulinganisha na sisi Black Africans (genetical inherent), ndio nasema ni vigumu sana sisi tuwe sawa na Wazungu katika masuala ya kisayansi kama genes zetu hazitakuwa mutated ili zifanane na za wazungu ili tufanye mambo kama wao kutokana na utashi uliojengeka ndani ya genes zao.