Mkuu concept nilizonazo serikali haitaweza kudhamini kwa sababu zinahitajika uwekezaji mkubwa. Mfano kuna concept ninayo inahitaji kudizaini aina ya lenzi ambayo haipo sokoni ili system ikamilike. Kuna kipindi ilibidi niingie deep kujua kudizaini lenz, nikapata ufahamu wa aina mbali mbali za lenz na abc zake.
Sasa ili uiunde unahitaji vifaa, ambavyo ni ghali. Mara nyingi serikali utasikia wametoa milioni 50 au 80.
Sidhani kama unaweza kufanya utafiti wa kina kwa pesa hio itaishia kwenye nauli tu.
Solution niliyoiona ni kutumia mbinu ya Elon Musk ya 'be sponsor yourself'.
Ukimsikiliza Elon anasema alipambana kupata pesa ili ajiendeshee tafiti zake yeye mwenyewe na kweli amefanikiwa.
Solution ni kuanzisha home laboratory/ workshop ambayo unaweka vitu vya msingi na vile vikubwa ndio unajiongeza.
Wenzetu wanasayasi wa wamarekani wengi wana home workshop kwa ajili ya kufanyia tafiti zao binafsi na sisi tunatakiwa tuige hata kwa kujichanga na kushirikiana na peers.Hii dream tangu jwa sasa kuweka work shop ya kisasa ta haja at my home hata kama iranichukua miaka10 but i must achieve hio dream.