Wataalamu wa Urusi wagundua kifaa kinachomuwezesha kipofu kuona

Sio rahisi hii tec kuwasaidia watu masikini maana baada ya kukamilika itagharim million kama 200 hivi. Na watu wenye umri wa miaka chini ya miaka 25 au zaidi ya miaka 60 hawatafanyiwa hii operation. Pia baada ya miaka kumi utavadilishiwa hicho kifaa. Hapo atumie teknolojia saidizi za simu au computer nk zitamsaidia. .mimi pia sioni kama huyo baba yako.
Huoni sasa umeandikaje?
 
Dunia imekaa kiubinafsi sana, kiukweli hivyo vifaa seroksli zilitakiwa zigharamie kols mtu aone lakini litaachwa liwa jambo la binafsi au familia hivyo matajiri watanufaika zaidi. Dunia ikismua usawa koka mtu anawezs fsidika ns kila tech ns rasilimali ola ubinafsi umetamalaki vizazi vya dunia pole mkuu ipi siku haki itatawala.
 
Yah nulijaribu jkumuambia hhuyo jamaa hapo juu.
 
Serikali hawajawahi kukataa kusaidia wanasayansi...umeonana na viongozi huko serikalini kuwapa proposal yako?
Kwanza watataka kufahamu kama wewe ni Chadema ili wahujumu juhudi zako. Kila kitu hapa ni siasa tutazidi tu kurudi nyuma.

Miaka ya nyuma tulikuwa tukitengeneza baiskeli pale Ubungo, matairi, nguo nk lakini leo hii tumekuwa tukilazimishwa tu kuunga mkono juhudi hata hatujui za nini.

Maybe our race is cursed.
 
Hatari mkuu huo ndiyo ukweri
 
Tatizo si kuwa our race is cursed but dini is the problem. Dini makes you stupid, unaamini tu vitu bila hata kufikiria. Wazungu na Waarab kwa kweli inabidi washitakiwe kwa kuturubuni kuamini uwongo na kuachana na imani zetu ambazo ndizo our identity.
 
Nakushauri nenda kaonane na serikali if you are serious.
Mkuu concept nilizonazo serikali haitaweza kudhamini kwa sababu zinahitajika uwekezaji mkubwa. Mfano kuna concept ninayo inahitaji kudizaini aina ya lenzi ambayo haipo sokoni ili system ikamilike. Kuna kipindi ilibidi niingie deep kujua kudizaini lenz, nikapata ufahamu wa aina mbali mbali za lenz na abc zake.
Sasa ili uiunde unahitaji vifaa, ambavyo ni ghali. Mara nyingi serikali utasikia wametoa milioni 50 au 80.
Sidhani kama unaweza kufanya utafiti wa kina kwa pesa hio itaishia kwenye nauli tu.

Solution niliyoiona ni kutumia mbinu ya Elon Musk ya 'be sponsor yourself'.
Ukimsikiliza Elon anasema alipambana kupata pesa ili ajiendeshee tafiti zake yeye mwenyewe na kweli amefanikiwa.
Solution ni kuanzisha home laboratory/ workshop ambayo unaweka vitu vya msingi na vile vikubwa ndio unajiongeza.
Wenzetu wanasayasi wa wamarekani wengi wana home workshop kwa ajili ya kufanyia tafiti zao binafsi na sisi tunatakiwa tuige hata kwa kujichanga na kushirikiana na peers.Hii dream tangu jwa sasa kuweka work shop ya kisasa ta haja at my home hata kama iranichukua miaka10 but i must achieve hio dream.
 
Sawa nimekuelewa, kwa maana hiyo serikali inasaidia watu wasiokuwa na upeo wa kuona mbali tu? Mtu akitaka milioni 50 kwa ajili ya kuanzishia biashara ya kilimo atapewa hela, kuuza duka na gongo pia atapata hela ila wanasayansi wanabanwa, kwa kweli hii ni changamoto na kuendelea itakuwa shida kwetu.
 
Back
Top Bottom