Tangantika
JF-Expert Member
- Aug 12, 2018
- 5,586
- 7,087
Unadhalilishwa vipi kuitwa kipofu.Naona haujanielewa. Mimi naekuandikia hapa sioni. Sasa nashangaa unanianbia nachanganywa na wanasiasa uchwara wakati ndilo neno sahihi. Neno kipofu linamdhalilish?a mtu asiyeona.
Pili ufahamu gani ulipanga kumuongeZea mtu asiyeona?
Tatu unaufahamu gani juuu ya accesibility technology.
Mtu aluwa mrefu akaitwa mrefu na mtu mfupi akaitwa mfupi ni tusi ?
Je kamusi ya kiswahili inafsiri vipi neno kipofu. Bado narudia uoni na upofu ni maneno mawili tofauti.
Kinyume cha neno kuona ndio kipofu.
Mi naelewa hivyo ndugu yangu kama unaelewa tofauti samahani.
Accessibility technology siifahamu.
Nimesema sitaki kufungua code ya hiyo device inafanyaje kazi ila inamsaidia kipofu asihitaji usaidizi wa mtu yoyote.
Kifaa kinaweza kumwambia kipofu kama kuna mtu,gari,mti nguzo,jengo,space, nk, kifupi ni roboti inayomsaidia kuyamudu mazingira.