Wataalamu wabobezi waliochafuliwa na fitina za CCM

Career bila hela?

Duniani hapa hata uwe msomi na kuheshimika vipi kama huna hela ni bure tu!

Kwenu nyie mnaona wachafu ila wao maisha yao na vizazi vyao yapo kwenye mfereji wa neema ya nchi.

Ni upumbavu kukumbatia career huku unakufa njaa.
Kwani wakina Muhongo walikuwa na njaa gani?Walikuja kwa heshima ya Rais!

Sent from my V2111 using JamiiForums mobile app
 
Huyo Tibaijuka ni poyoyo tuu mtoe hapo
 
Hivi hata kama amechukuliwa toka shirika Ina mana afanye uchafu aachwe a stupid thing
 
Tido Muhando aliruhusu session ya live debate iitwayo mchakato majimboni kuelekea uchaguzi mkuu wa 2010.

Hii ndio ilidhihirisha wagombea vilaza wa CCM waliokuwa wakivurunda kujibu maswali ya papo kwa papo kutoka kwa wananchi na huku wakiwa live on air, wagombea wa upinzani walijipatia umahiri mkubwa.

Kilichofuata ni wagombea wa CCM kususia midahalo hiyo baada ya kuona wameburuzwa vibaya sana.

Hata kwa upande wa urais ushawishi tunajua ulikuwa wapi na nani alishinda ila CCM ikatumia mbinu zake za siku zote kujipa ushindi.

Baada ya uchaguzi Tido Muhando akapigwa chini.
 

Hao wote hamna kitu. Bila kumtaja Dr. Ibrahim Msabaha. Huyu alikuwa real with true colours. Alivyozinguliwa hakuangalia nyuma akapotea mazima.
 
Ukiondoa kwa Tido Mhando, wengine wote hapo ni wachafu wa kawaida, wakapewa kazi ya kwenda kutakatisha uchafu, katikati ya majikumu yao ya uchafuzi wakawekwa pembeni.

Sasa huyo Tido ana maadili gani? Unaujua mkataba wa TBC na Startimes ulivyokuwa wa kihuni na upigaji? Alieusain c ndo huyo huyo Mhando wako, unajua alipewa nini? Mengine muwe mnayamaza mana uchafu wa mtu uujui ukiujua utamkimbia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…