ilore
JF-Expert Member
- Aug 5, 2022
- 963
- 1,248
Yaani huyu na kidata hawana tofauti sijui mganga wao mmojaJames Mataragio TPDC anatumbuliwa na kurudishwa kila wakati
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaani huyu na kidata hawana tofauti sijui mganga wao mmojaJames Mataragio TPDC anatumbuliwa na kurudishwa kila wakati
Mama zika alifanya kazi ambayo siyo yake. Tangu lini hapa duniani mwanasayansi akatangaza janga la nchi kukumbwa na ugonjwa.
Leo ameteuliwa tenaJames Mataragio TPDC anatumbuliwa na kurudishwa kila wakati
Ameula Leo LeoLeo ameteuliwa tena
Kapuku kama wewe nawe wakufanyie nini?Mimi sitaki walichonifanyia mbwa hawa
Ilishalaanika miaka mingi sana!1. Sospeter Muhongo. Huyu ni gwiji ktk taaluma ya miamba ya madini. Alikuwa zake South Africa miaka lukuki akiwa rais wa wanataaluma ya miamba Afrika nzima. Kikwete kaenda kumbembeleza aje atunasue kwenye sekta ya madini.
Kufika hapa kapewa uwaziri lkn hakukaa muda mrefu akaangushwa na kundi la wajinga CCM.
2. Omary Nundu. Huyu ni bingwa wa masuala ya aviation. Amefanya kazi maiaka kibao ktk njia panda ya dunia ya madege -Amsterdam. Kikwete kaenda kumuomba aje atufufulie shirika letu la ndege. Kufika hapa kapewa uwaziri lkn kakwamishwa na wajinga CCM.
3. Tido Mhando. Huyu ana weledi mkubwa ktk maswala ya habari na mawasiliano. Alikuwa anafanya kazi shirika kubwa la habari duniani -BBC. Kikwete kaenda kumuomba aje aiboreshe TBC. Kufika hapa kapewa ukurugenzi lkn alikwamishwa na wajinga CCM.
4. Prof. Tibaijuka. Mama mataalamu wa masuala ya nyumba na makazi. Kafanya kazi ktk shirika la umoja wa mataifa lijulikanalo kama UN Habitat. Kikwete kaenda kumuomba aje asaidie kuboresha nyumba na makazi hapa. Akipewa uwaziri lkn akakwamishwa na wajinga ccm.
5. Irene Isaka. Huyu alikuwa anafanya kazi kubwa na yenye mshahara mkubwa sana kwenye shirika moja la kimataifa huko South Africa. Kikwete kaenda kumuomba. Akaja akafanya kazi .nzuri chini awamu ya Kikwete lkn alipoingia jiwe akamtupilia mbali kwa hoja za kijinga tu.
CCM is the heaven for thick headed people.