Watafiti wanasema ukifika mwaka 2050 watu watakuwa na uwezo wa kuepuka Kifo

Watafiti wanasema ukifika mwaka 2050 watu watakuwa na uwezo wa kuepuka Kifo

Teknolojia ni Yetu sote

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2020
Posts
1,386
Reaction score
2,833
1_20250507_213325_0000.png


🌍 Aiseeeh Dunia bhana πŸ˜‰, Jamani sio mimi ni watafiti hao walichokisema ni chakushangaza kabisa πŸš’....!!!!!

πŸ’‘ Mpaka kufikia mwaka 2050 wataalamu wanasema wataweza kufanikiwa kwenye teknolojia inaitwa bio teknoloji, akili. Bandia (AI) na nano medicine yatakayopelekea kifo kuwa Hiari.

2_20250507_213325_0001.png


πŸ’‘ Wanaharakati wa maisha ya baadaye kama vile Dokta Ian Pearson na Ray Kurzweil wanatazamia siku zijazo ufahamu wa binadamu unaweza kuwekwa kwenye mifumo ya kidigitali, kuruhusu watu kuwepo zaidi ya miili yao ya kibailogia.

3_20250507_213325_0002.png


4_20250507_213325_0003.png


πŸ’‘ Wazo hili hujulikana kama "𝐝𝐒𝐠𝐒𝐭𝐚π₯ 𝐒𝐦𝐦𝐨𝐫𝐭𝐚π₯𝐒𝐭𝐲" kutokufa kwa kidigitali, ambapo miaka ijayo kupitia nano teknolojia itatuwezesha Wanadamu kuweza kuzuia kuzeeka na kudumisha miili Yetu kwa kiwango cha seli, kusimamisha au kurudisha nyuma mchakato wa kuzeeka kwa binadamu.

5_20250507_213326_0004.png


6_20250507_213326_0005.png


πŸ’‘ Pia itaweza kuwapa watu nguvu mpaka kufikia mwaka 2050 binadamu atakua na uwezo wa kuchagua umri wake wa kuishi Duniani na kuamua kufa kwa hiari bila kulazimishwa au kutokupenda kupitia Teknolojia ya "π₯𝐨𝐧𝐠𝐞𝐯𝐒𝐭𝐲 𝐞𝐬𝐜𝐚𝐩𝐞 𝐯𝐞π₯𝐨𝐜𝐒𝐭𝐲".

7_20250507_213326_0006.png


Bado maswali yamekua Mengi kwenye upande wa maadili na kiimani kwa kuzuia utata kwani Wengi tunaamini Allah (Mungu) ndo muweza wa kila jambo kwenye hii Dunia lakini Wana sayansi wanasema kuwa kufikia mwaka 2050 watu watakua na uwezo wa kuishi kwa muda mrefu usiojulikana inaweza kubadilika kutoka hadithi za Masimulizi kuwa maisha halisi.

Angalia picha kwa taarifa zaidi βœ…

Unasemaje kuhusu hali hii kutoka kwa wanasayansi??
 
Sio kwamba ni science bali Muumba alituumba tuishi umilele na majira hii ndo wakati huo umefika.rejea

Mhubiri3:11
Kila kitu amekifanya kizuri kwa wakati wake; tena ameiweka hiyo milele ndani ya mioyo yao; ila kwa jinsi mwanadamu asivyoweza kuivumbua kazi ya Mungu anayoifanya, tangu mwanzo hata mwisho.

1koritho 15:26,51
26 Adui wa mwisho atakayebatilishwa ni mauti.

51 Angalieni, nawaambia ninyi siri; hatutalala(kufa) sote, lakini sote tutabadilika,

Tutakapokuwa na ufahamu wa Muumba ambao ndio upitio fahamu zote ndipo umilele juu ya nchi itatimia

Ufunuo 21:3
Nikasikia sauti kubwa kutoka katika kile kiti cha enzi ikisema, Tazama, maskani ya Mungu ni pamoja na wanadamu, naye atafanya maskani yake pamoja nao, nao watakuwa watu wake. Naye Mungu mwenyewe atakuwa pamoja nao.
 
Back
Top Bottom