View attachment 3328114
π Aiseeeh Dunia bhana π, Jamani sio mimi ni watafiti hao walichokisema ni chakushangaza kabisa π....!!!!!
π‘ Mpaka kufikia mwaka 2050 wataalamu wanasema wataweza kufanikiwa kwenye teknolojia inaitwa bio teknoloji, akili. Bandia (AI) na nano medicine yatakayopelekea kifo kuwa Hiari.
View attachment 3328115
π‘ Wanaharakati wa maisha ya baadaye kama vile Dokta Ian Pearson na Ray Kurzweil wanatazamia siku zijazo ufahamu wa binadamu unaweza kuwekwa kwenye mifumo ya kidigitali, kuruhusu watu kuwepo zaidi ya miili yao ya kibailogia.
View attachment 3328116
View attachment 3328117
π‘ Wazo hili hujulikana kama "ππ’π π’πππ₯ π’π¦π¦π¨π«πππ₯π’ππ²" kutokufa kwa kidigitali, ambapo miaka ijayo kupitia nano teknolojia itatuwezesha Wanadamu kuweza kuzuia kuzeeka na kudumisha miili Yetu kwa kiwango cha seli, kusimamisha au kurudisha nyuma mchakato wa kuzeeka kwa binadamu.
View attachment 3328118
View attachment 3328119
π‘ Pia itaweza kuwapa watu nguvu mpaka kufikia mwaka 2050 binadamu atakua na uwezo wa kuchagua umri wake wa kuishi Duniani na kuamua kufa kwa hiari bila kulazimishwa au kutokupenda kupitia Teknolojia ya "π₯π¨π§π ππ―π’ππ² ππ¬πππ©π π―ππ₯π¨ππ’ππ²".
View attachment 3328120
Bado maswali yamekua Mengi kwenye upande wa maadili na kiimani kwa kuzuia utata kwani Wengi tunaamini Allah (Mungu) ndo muweza wa kila jambo kwenye hii Dunia lakini Wana sayansi wanasema kuwa kufikia mwaka 2050 watu watakua na uwezo wa kuishi kwa muda mrefu usiojulikana inaweza kubadilika kutoka hadithi za Masimulizi kuwa maisha halisi.
Angalia picha kwa taarifa zaidi β
Unasemaje kuhusu hali hii kutoka kwa wanasayansi??