secretarybird
JF-Expert Member
- Aug 22, 2024
- 23,984
- 51,055
Haki hakika.Umevipiga vita,
Umevipiga vita,
Vilivyo vizuri,
Mwendo umeumaliza,
Imani umeilinda, mwendo umeumaliza imani umeilinda
Mungu ni mwema Kila wakati.
Haki hakika.Umevipiga vita,
Umevipiga vita,
Vilivyo vizuri,
Mwendo umeumaliza,
Imani umeilinda, mwendo umeumaliza imani umeilinda
Hii inaweza tu kusaidia kuongeza umri wa kuishi, kwa kuzuia vifo vinavyotokana na ugonjwa na uzee. Vyanzo vingine vya kifo vinabaki kama vilivyo.View attachment 3328114
🌍 Aiseeeh Dunia bhana 😉, Jamani sio mimi ni watafiti hao walichokisema ni chakushangaza kabisa 🚒....!!!!!
💡 Mpaka kufikia mwaka 2050 wataalamu wanasema wataweza kufanikiwa kwenye teknolojia inaitwa bio teknoloji, akili. Bandia (AI) na nano medicine yatakayopelekea kifo kuwa Hiari.
View attachment 3328115
💡 Wanaharakati wa maisha ya baadaye kama vile Dokta Ian Pearson na Ray Kurzweil wanatazamia siku zijazo ufahamu wa binadamu unaweza kuwekwa kwenye mifumo ya kidigitali, kuruhusu watu kuwepo zaidi ya miili yao ya kibailogia.
View attachment 3328116
View attachment 3328117
💡 Wazo hili hujulikana kama "𝐝𝐢𝐠𝐢𝐭𝐚𝐥 𝐢𝐦𝐦𝐨𝐫𝐭𝐚𝐥𝐢𝐭𝐲" kutokufa kwa kidigitali, ambapo miaka ijayo kupitia nano teknolojia itatuwezesha Wanadamu kuweza kuzuia kuzeeka na kudumisha miili Yetu kwa kiwango cha seli, kusimamisha au kurudisha nyuma mchakato wa kuzeeka kwa binadamu.
View attachment 3328118
View attachment 3328119
💡 Pia itaweza kuwapa watu nguvu mpaka kufikia mwaka 2050 binadamu atakua na uwezo wa kuchagua umri wake wa kuishi Duniani na kuamua kufa kwa hiari bila kulazimishwa au kutokupenda kupitia Teknolojia ya "𝐥𝐨𝐧𝐠𝐞𝐯𝐢𝐭𝐲 𝐞𝐬𝐜𝐚𝐩𝐞 𝐯𝐞𝐥𝐨𝐜𝐢𝐭𝐲".
View attachment 3328120
Bado maswali yamekua Mengi kwenye upande wa maadili na kiimani kwa kuzuia utata kwani Wengi tunaamini Allah (Mungu) ndo muweza wa kila jambo kwenye hii Dunia lakini Wana sayansi wanasema kuwa kufikia mwaka 2050 watu watakua na uwezo wa kuishi kwa muda mrefu usiojulikana inaweza kubadilika kutoka hadithi za Masimulizi kuwa maisha halisi.
Angalia picha kwa taarifa zaidi ✅
Unasemaje kuhusu hali hii kutoka kwa wanasayansi??
Sisi sio watoto kuwa na heshima tunaelekea floor ya 3 sasa.Watoto wa 2000 wamechukua points tatu katika hili.
Nyinyi si watoto kwa Wana JF wengine lakini kwangu nyinyi ni watoto maana nimewapiga gepu la miaka.Sisi sio watoto kuwa na heshima tunaelekea floor ya 3 sasa.
hoshukuru 2050 ndo hata uzee bado aani 😂 😂Haki hakika.
Mungu ni mwema Kila wakati.
Mungu SI mjinga, aliweka Soul na Spirit kwako....! Huwezi kumkimbia... Ni kama Mbuzi mwenye kamba Mguuni.....!
Ni matamanio ya Shetani lakini alishashindwa,
Mungu ananyofoa Spirit, then Soul inafata, Kifo kinatangazwa hata kama hukuugua.
hahahahaha dah!Ni katika harakati za kuescape kuonana na Mungu.
Mwaka 2050 nitakuwa na miaka 93Nac
hoshukuru 2050 ndo hata uzee bado aani 😂 😂
Tutakuwa tushakuzikaMwaka 2050 nitakuwa na miaka 93
Sahihi kabisa mkuu, kifo ni rafiki wa kweli.Tutakuwa tushakuzika
Mkuu ukijitunza vzr zoezi mpangilio wa misosi unaweza kuwepo mbona tunaona daily vijana wanadondoka kisa k vant wazee wapo.....Sahihi kabisa mkuu, kifo ni rafiki wa kweli.
Nikifika mwaka wa 2050 basi nitaishi miaka mingine mingi kwani nitaenda kwa hao wataalamu wa kuongeza miaka.Mkuu ukijitunza vzr zoezi mpangilio wa misosi unaweza kuwepo mbona tunaona daily vijana wanadondoka kisa k vant wazee wapo.....
😹😹😹😸😼Ajali nayo itazuia vipi kufa? 😹