Watafiti wanasema ukifika mwaka 2050 watu watakuwa na uwezo wa kuepuka Kifo

Inshallah 2050 tunaweza fika Kwa mapendekezo ya mungu
Eeh nitakua Mzee au naukaribia๐Ÿ˜€
 
Mungu SI mjinga, aliweka Soul na Spirit kwako....! Huwezi kumkimbia... Ni kama Mbuzi mwenye kamba Mguuni.....!

Ni matamanio ya Shetani lakini alishashindwa,

Mungu ananyofoa Spirit, then Soul inafata, Kifo kinatangazwa hata kama hukuugua.
 
Hii inaweza tu kusaidia kuongeza umri wa kuishi, kwa kuzuia vifo vinavyotokana na ugonjwa na uzee. Vyanzo vingine vya kifo vinabaki kama vilivyo.
 
Mungu SI mjinga, aliweka Soul na Spirit kwako....! Huwezi kumkimbia... Ni kama Mbuzi mwenye kamba Mguuni.....!

Ni matamanio ya Shetani lakini alishashindwa,

Mungu ananyofoa Spirit, then Soul inafata, Kifo kinatangazwa hata kama hukuugua.

Hivi mkuu mgonjwa wa figo --- akiwekewa figo mpya -- is this good or bad?
 
Mkuu ukijitunza vzr zoezi mpangilio wa misosi unaweza kuwepo mbona tunaona daily vijana wanadondoka kisa k vant wazee wapo.....
Nikifika mwaka wa 2050 basi nitaishi miaka mingine mingi kwani nitaenda kwa hao wataalamu wa kuongeza miaka.
 
Hakika ya kuonja mauti Iko pale pale ndio kufa sio lazima, kilicholazima ni kuonja mauti hiki kikombe hakitairuka nafsi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ